Hotuba: Julius Kambarage Nyerere (pt 3/3) [updated]
Hotuba hii niliiposti mwaka jana, hivi leo nairudia ikiwa ni katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu, Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere!
Sehemu hii ni ya tatu na ya mwisho katika mfululizo wa hotuba ya Marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa katika hoteli ya Kilimanjaro (sasa Kempinski) siku ya Jumanne, tarehe ya kumi na nne ya mwezi wa Machi mwaka moja elfu, tisa mia, tisini na tano.
Kwa marejeo ya sehemu ya kwanza bofya hapa na kwa sehemu ya pili bofya hapa.
Mwalimu alisema:
(pleya inachukua muda kusikika kulinganana kasi ya intaneti unayotumia.Ikiwa husikii kwenye pleya moja, jaribu nyingine)

7 feedback :
IT IA AMEZING THAT WE HEAR THE SPECH BY THE LATE JK AT HIS TIME WHN HE WAS ARIVE PARTICULLY HE TALKS ON ISSUE THAT TOUCHES THE NATIONAL
KINDLY KIP IT UP TELLING US WHAT IS HAPPENING
Thanks Subi for posting the audio clips. For sure, what Mwalimu said 13 years ago, still hold water todate.
Asante dada Subi kwa hizi hotuba za aliyekuwa Baba wa Taifa letu Mwalimu J.K.Nyerere.
Endelea kutuwekea nyingine zitakazopatikana
Stay blessed
(Mchungaji Ladslaus).
LET US AGREE AND APPRECIATE THE ONLY TALENT THAT OUR NATION HAD AND WILL ONLY HAVE UNTIL THE END OF TIME. WHENEVER I LISTEN TO HIS ANALYSIS, HIS LOGIC, HIS KNOWLEDGE, HIS PRESENTATION, HIS PASSION FOR THE NATION AND HIS LOVE FOR TANZANIA, I ALWAYS ASK MYSELF, WHY HE LEFT US. PLEASE LETS HOLD HIS LEGACY AND BELIEVE ME IT IS WHAT THE US IS IMPLEMENTING UNDER OBAMA; A SEED OF UNITY JUST AS WE DID WITH THE UNION WITH ZANZIBAR.
GOD, I CAN GO ON AND ON AND ON..............
THE REAL FATHER OF TANZANIA.
ahsante, dada subi kwani hizo hotuba ni moja ya mafundisho ya viongozi wetu.Na inatakiwa wafuate maagizo na maekezo ya katiba ya jamhuri wa muungano.watu wasichague kiongozi kwa sababu ya umaarufu wake, hayo makosa. says, mkeleketwa.
thank you very much yaani nieacha kazi zote kusikiliza hiyo.
maovu yote mwalimu alikuwa anayazungumzia wakati huo ndio yanatendeka sasa hivi.tunakushukuru sana subi kwani tumeangaika kutafuta hizi hotuba hatupati.huyu ndio alikuwa kiongozi na kipaji cha kuongoza kutoka kwa mungu.na kilichomsaidia kikubwa ni kuwa mtu wa dini na alikuwa na uchungu na nchi yake .sasa hivi huwezi kupata kiongozi kama huyu.wamebaki watu wanajali maisha yao binafsi na sio uchungu na nchi yetu.