wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Thursday, April 09, 2009

TweetThis! Njia rahisi kupokea RSS feed to email inbox

Katika posti za nyuma niliandika jinsi ya kutumia RSS feed (bofya hapa kuisoma) kwa wasomaji na pia kuwahimiza wenye umuhimu wa kuwapa uchaguzi wa feed za posti zao wasomaji.

Leo nitaelezea ninavyopokea habari bila ya kila mara kutaipu jina la tovuti na kuanza kuiembelea, kwanza muda huo sitakuwa nao na pili si rahisi kukumbuka kila tovuti kila siku na tatu nitakuwa napoteza muda mwingi sana kuembelea tovuti/blogu nakuperuzi vitu vya juzi na jana na leo, blogu zenyewe zinabandikwa posti ishirini kwa siku ntaweza wapi?

Ninatumia Notify.Me ambayo ni kisoma habari kinachoniwakilishia habari kwenye email inbox yangu punde posti inapotundikwa kwenye tovuti/blogu yenye RSS. Sihitaji kusubiri zile feeds za blogu yenyewe zijipange na zitumwe kwangu kama alivyojiapangia mwenye blogu/tovuti.

How to use NotifyMe
- Go to your browser and type in this URL http://notify.me/
- Register/Open account
- Go to the web/blog you want to receive updates from
- Click and obtain the feed URL of that web/blog
- Go back to your NotifyMe account and paste the URL
- After the URL is submitted in your NotifyMe account, click on the icon to choose a delivery option for the subscribed URL feed.
That's it. You are done.

-You can change the delivery method or mute RSS from being deliverd to your inbox, mobile or desktop anytime you want and re-activate it at a later time. It's your choice.

Uzuri wa NotifyMe, unaweza kuiamuru isikutumie feeds za blogu/tovuti fulani kadiri unavyoaka kwa ku-ckick icon na itaonekana imefubaa, tofauti na ikiwa active inakuwa na mng'ao wa rangi ya manjano.

Wachache wetu kwenye blogger tumebadili burning method ya feeds zetu na kutumia FeedBurner au FeedBlitz, FeedCat nk.

Wenye blogu nyingi sana Tanzania hawajabadilisha burning method ya feeds zao hivyo zipo katika default settings ya Blogger ambayo ni: http://JINA-LA-BLOGU.blogspot.com/feeds/posts/default

Kwa hivi, unapotaka kuandikisha feeds za blogu kwenye kisoma habari chaoko, si lazima utembelee au utaipu jina la kila blogu unayotaka kuaanza kusaka feeds zake. Nimeweka njia rahisi hivi: Nakili mstari huo hapo juu kisha badili maneno JINA-LA-BLOGU kwa kuweka jina la blogu husika. Kwa mfano, ukitaka feeds za blogu ya Profesa Mbele basi andika: http://hapakwetu.blogspot.com/feeds/posts/default, ukitaka za blogu ya Dada Sophie nitatumia: http://sophiasclub.blogspot.com/feeds/posts/default nk. nk.


Ukitaka kuona kwa vitendo jinsi ya kutumia NotifyMe, tizama video hii yenye malekezo katika lugha ya KiIngereza.
A demonstration of the notify.me product available at http://notify.me/affiliate/source/referer?url=http%3A%2F%2Ffeeds2.feedburner.com%2Fnukta77&return_to=http%3A%2F%2Fnukta77.com

notify.me delivers time sensitive information to users in near real time. With notify.me users no longer need to repeatedly check websites for updates, notifications can be delivered to a user's mobile phone, desktop client, instant messenger, email, private RSS feed and web browser.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads