wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Friday, April 10, 2009

TweetThis! Salam za Pasaka toka CCM - UK

Mheshimiwa Mama na Baba Balozi
Mwenyekiti na wanachama wa Tanzania Association,
Mwenyekiti na wanachama wa TZ Edinburgh Community Association,
M/kiti na wanachama wa Tanzania Women Association,
M/kiti na wanachama wa ATWID,
M/kiti na wanachama wa Zenjydar,
Viongozi na wanachama wa Vyama vyote vya Siasa(UK)
M/kiti na wanachama wa WATU,
Viongozi na wana Jumuiya wa taasisi za Watanzania.

CHAMA CHA MAPINDUZI-(UK) KINAWATUMIA NA POKEENI SALAMU ZA KHERI YA PASAKA NJEMA .

AIDHA CCM INAWATAKIA AFYA NJEMA NA FANAKA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU KUU HII NDEFU.

CCM INATARAJIA KUWA HUU NI MUDA MUAFAKA WA KUTAFAKARI, KUJADIDI KWA MTAGUSO YAKINIFU TUKIAINISHA WAPI TULIENENDA KWA MAPUNGUFU NA KUFIKIA MAAMUZI BORA YA NAMNA YA KUIMARISHA KWA DHATI UMOJA WETU, UHURU WENYE WAJIBU, JUHUDI NA NIDHAMU KATIKA KAZI NA MAADILI YA KIZALENDO HASA WAKATI HUU WA MATATIZO YA KAZI NA UCHUMI DUNIANI.

DAIMA TUTASHIKAMANA TUKIJENGANA KATIKA JUMUIYA ZETU NA TUENDELEE KUJISAJILI KATIKA UBALOZI WETU.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Maina Ang'iela Owino
MWENYEKITI CHAMA CHA MAPINDIZI (UK).

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads