wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, October 14, 2009

TweetThis! Hotuba: Julius Kambarage Nyerere (pt 2/3) [updated]

Hotuba hii niliiposti mwaka jana, hivi leo nairudia ikiwa ni katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu, Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere!

Wiki iliyopita tuliisikiliza sehemu ya kwanza ya hotuba (bofya hapa kuirejea) aliyoitoa marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika hoteli ya Kilimanjaro (Kempinski) mnamo siku ya Jumanne mwezi wa Machi tarehe ya 14 ya mwaka 1995. Hii hapa ni sehemu ya pili kati ya sehemu tatu za hotuba hiyo. Mwalimu alisema:


(pleya inachukua muda kusikika kulinganana kasi ya intaneti unayotumia, ikiwa husikii katika pleye moja, jaribu nyingine)

12 feedback :

Anonymous said... Fri Nov 21, 10:14:00 AM MST  

Tunashukuru sana, sana! kwakutu wekea hotuba za mwalimu Nyerere!

Kama unazo nyinginne please naomba uziweke!

Mdau.

subi said... Fri Nov 21, 12:03:00 PM MST  

Mdau, sehemu ya Tatu nitaiweka wiki ijayo, majaaliwa ya uzima na mitambo iwe sawa.
Kwa bahati mbaya sana, ninayo kanda moja tu ya kaseti ambayo ndiyo nimeiweka hapa, laiti ningekuwa na nyingine nisinge kuwa mchoyo wa 'elimu' hii ya Mwalimu.
Ninawasihi wenye hifadhi ya kaseti na video wajitahidi kuufikishia umma unaolilia hotuba hizi, mimi nikiwa mmoja wao.

Anonymous said... Thu Nov 27, 10:30:00 PM MST  

Hii inaonesha jinsi gani kuna watu wanaojali wengine. Tunaomba utuwezeshe ku "Download" hotuba hizi tuzitunze nasi kwenye maktaba zetu. au usizitoe hapo kabisa kila mtu akitaka kusikiliza afungue blog hii.

subi said... Fri Nov 28, 04:50:00 AM MST  

Anonymous Fri Nov 28, 08:30:00 AM EAT,
Hotuba hizi sitazitoa hapa labda itokee matatizo ya teknolojia katika sehemu nilizohifadhi, hata na hivyo nitatafuta mahala pengine pa kuhifadhi ili kuhakikisha kuwa hotuba hizi zinabaki hapa kwa ajili ya watu na vizazi vingine kurejelea mafundisho haya.
Ukitaka nakala yako binafsi nitumie anwani pepe yako ambayo nitakutumia huko.

Anonymous said... Sat Nov 29, 10:33:00 AM MST  

I love his sense of humor!! A great man! May all the great men and women rest in peace

Anonymous said... Tue Oct 13, 05:55:00 AM MST  

anuani pepe yangu ni imaglory2004@yahoo.com naomba nitumie nakala yangu binafsi.

Nakupongeza kwa juhudi kubwa ulizofanya kutuletea kwenye mtandao hutuba hizi

Anonymous said... Tue Oct 13, 08:40:00 AM MST  

Kindly send me a copy of Mwalimus speech my mail is

Anonymous said... Tue Oct 13, 01:06:00 PM MST  

subi asante kwa hotuba hizi za mwalimu nami nitafurahi sana kama utanitumia email yangu ni mammysavy@yahoo.com

Anonymous said... Tue Oct 13, 10:10:00 PM MST  

hello sister subi. hope you ok. pole kwa kazi ya bure ya kutuletea taarifa na mambo muhimu. may i join the list of those requesting to be sent these heart touching nyerere speeches. Please do the needfull through
martinngwandu@rocketmail.com

Anonymous said... Wed Oct 14, 05:49:00 AM MST  

huyu mzee alikua anawapenda watu wake,he was very honest,yaani anayozungumza ndo sasa hivi yametapakaa.Subi tunaomba tukusumbue,nami nitumie copy ya speech za mwalimu wetu though mcheri20@yahoo.com

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads