Hotuba: Julius Kambarage Nyerere (pt 1/3) [updated]
Hotuba hii niliiposti mwaka jana, hivi leo nairudia ikiwa ni katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu, Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere!
Hii ni rekodi kutoka kwenye kanda ya kaseti (audio cassette) niliyonayo yenye kumbukumbu ya hotuba aliyoitoa hayati Mwalimu mnamo siku ya Jumanne mwezi Machi tarehe ya 14 ya mwaka 1995 katika hoteli ya Kilimanjaro (sasa Kempinski).
Siku hiyo Mwalimu alizungumzia mengi ikiwa ni pamoja na "nyufa zinazoitikisa nyumba ya Tanzania". Mwalimu alisema:
(pleya itachukua muda kusikika kusikika kulinganana kasi ya intaneti unayotumia. Ikiwa husikii kwenye pleya moja, jaribu nyingine)
Hii ni rekodi kutoka kwenye kanda ya kaseti (audio cassette) niliyonayo yenye kumbukumbu ya hotuba aliyoitoa hayati Mwalimu mnamo siku ya Jumanne mwezi Machi tarehe ya 14 ya mwaka 1995 katika hoteli ya Kilimanjaro (sasa Kempinski).
Siku hiyo Mwalimu alizungumzia mengi ikiwa ni pamoja na "nyufa zinazoitikisa nyumba ya Tanzania". Mwalimu alisema:
(pleya itachukua muda kusikika kusikika kulinganana kasi ya intaneti unayotumia. Ikiwa husikii kwenye pleya moja, jaribu nyingine)
37 feedback :
Hakika alikuwa nabii, zile nyufa alizoona ziliendelea na sasa naona zimekuwa mianya mikubwa kwenye kuta. Kama hatutaangalia, nyumba yetu itabomoka na kuanguka kama ya wakenya.
TJ Kyara
ePastor,
Nazitafuta sana hotuba hizi.Ahsante Subi,wale TBC wanazibania sijui kwanini.
Egidio
Katika hii alitabiri mambo yanayotokea sasa.Tamaa za viongozi upeo mfinyu katika maamuzi yao mwongozo wa sheria viongozi wanaofanya maamuzi yao kwa kushauriwa na wake zao na si sheria hawatufahi.Viongozi wetu wa sasa kuanzia Rais wanaongozwa na MAFISADI.TBC kuzibania hotuba hizi wanasababu za kisiasa kwani hotuba hizi na mambo wanayoyatenda ni matusi kwa uongozi uliopo.Ili angalau kuwakumbusha hawa viongozi wetu ingeliku vyema wakawa wanazirusha kwa vipande angalau mara moja dakika tano kila baada ya taharifa ya habari ya jioni.uwenda itawasaidia kutafakari wapi walikotoka na wapi wanapokwenda.MUNGU IBARIKI TANZANIA.Advocate Jasha
Asante sana kwa hii!
hii ni muhimu saaanaaaa kwa kipindi hiki jamani kwanini hawaweki hizo kumbukumbu watu wazima na watoto wasikie
Another good one Subi !
Keep up the good works
John Ngowi
huyu hana mpinzani duniani labda kidogooooooooooo labda mr obama. sasa hii naomba kwa hesha na taadhima hutba kama hii iwekwe kila siku watu wafunue vichwa yvyo nakuombeni viongozi wetu wa sasa mlio madarakani huu ndio urithi sio maneno . MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU UBARIKI MUUNGANO WETU.
Yaani hii ni ya kufunga mwaka maana umeitoa kwenye wakati muafaka. Nafikiri Mwalimu Nyerere hakuwa tu Mwalimu bali na vipaji vingine kama vya utabiri. Huu utabiri aloutoa mwaka 1995 kwamba yatatokea, ndo hayoo tunaayaona sasa hivi. Na hao wabunge wa Bongo wanakaaa kupoteza muda na pesa bungeni wakijaadili mambo ambayo tayari washajua outcome zake, i dont understand them. Hivi kwanini wasiprint hizo hotuba na kuzisoma kwa wakati wao badala ya kupoteza mapesa kwa kukaa bungeni na wananchi wanashida kibao.
Maoni yangu kwako: KAZI YA KUTUNZA MAKTAABA YA TAIFA INAKUFAA SAANA! Hebu jaribu kufuatilia.
Amelda
Labda hotuba kama hizi zilisha disapear siku nyingi ndo mana viongozi wetu wa sasa hawana cha ku refer. hebu fanya mapango wa kuwapostia hii kabla haijawa too late.
Amelda
Where is it?
Hi, Thanks for your endless effort. Is ity possible and is it allowed for me to copy/download the speech so as to listen later when I have spare time.
Nyati
nyati04@yahoo.com
This is very nice. Can you allow us to download, as you know our internet speed is so poor so it takes long time play.
Keep it up!
Anonymous @ Mon Nov 24, 08:11:00 AM EAT
Send me your email address.
My contact details at the top of the page (Wasifu Wangu)
asante sana , hua napenda sana kupata vitu vya kihistoria
da subi, big up, unafanya kazi nzuri SANA!tafadhali KM INAWEZEKANA nitumie hizo hotuba ktk, vimtwe@yahoo.com
Vimtwe,
Tizama inbox yako.
vimtwe,
Inaelekea inbox yako imejaa sana, nipe anwani ya inbox yenye nafasi. Nimekutumia ikawa hivi:
Delivery to the following recipient failed permanently:
vimtwe@yahoo.com
Technical details of permanent failure:
Google tried to deliver your message, but it was rejected by the recipient domain. We recommend contacting the other email provider for further information about the cause of this error. The error that the other server returned was: 554 554 delivery error: dd Sorry your message to vimtwe@yahoo.com cannot be delivered because it is too large. - mta154.mail.ac4.yahoo.com (state 18).
MIMI NASHANGAA KWA NINI WATU WA MAGHARIBI HASA UK NA USA HUWA HAWAMSIFII HUYU MTU KAMA ALIKUWA GREAT LEADER OF NOT JUST TANZANIA BUT THE WORLD. KWA UNAFIKI WAO WANAMSIFIA SANA MANDELA KWA VILE ALIFUNGWA TAKRIBANI MIAKA 30 NA KUTESWA SANA NA WAO, PIA MATESO YA WA-SOUTH NA SIASA YAO YA UBAGUIZI NA ALIPOPATA URAIS AKAWASAMEHE NA KUENDELA KUWAKUMBATIA BASI WAKAMUONA NI KIONGOZI MZURI KWA VILE AMEYALINDA MASLAHI YAO, KIFIMBO ALIYEKUWA ANAPAMBANA NAO IKIWEMO PAMOJA NA UHURU WANCHI ZA AFRIKA IKIWEMO SOUTH AFRIKA WALA HAWANA HABARI NAYE NA UKISOMA VITABU VINGI VILIVYOANDIKWA NA WAZUNGU WANAMPONDA SANA KWA VILE HAKUWAKUMBATIA KATIKA UONGOZI WAKE ALIKUWA NI MKWELI TUPU ALIKUWA ANAWAPE LIVE. KAZI NZURI SUBI ENDELEA KUTUHABARISHA.
NI MIMI EDWARD ALEX MKWELELE - UK
naomba serikali na wananchi kwa ujumla tuwalinde maalbino
Da Subi ahsante sana kwa jitihada zako, kwa kujaribu kunitumia nilichoomba, naomba usinichoke, jaribu kutuma katika vincemtwe@gmail.com, natanguliza shukurani.
Subi, mambo vipi? Wat a good job dear. Naomba unipe favour moja p,se...., unaweza kunitumia hizi hotuba kwenye...hanscool80@hotmail.com. Nitashukuru kwa ushirikiano wako, ahsante.
>> vincemtwe@gmail.com
Tizama inbox yako.
>> hanscool80@hotmail.com
nitumie akaunti yenye gmail.
Yahoo na Hotmail zote hazihimili ukubwa wa hotuba.
Da SUBI, mungu akubariki sana, nimezipata hotuba, nimezipakua na zina-play vizuri, mungu akutangulie kwa kazi nzuri unayoifanya, we ni zaidi ya mwandishi wa habari - STAY BLESSED.
Ni mimi VIMTWE.
VIMTWE
Nafurahi kusikia kuwa umepata nakala.
Asante kwa sifa, nawe ubarikiwe na kufanikiwa pia!
kuna yale aliyoyafanya mazuri,lakini kuna mengi aliyoyafanya mabaya,hayana faida hata kidogo na maslahi ya taifa alikuwa hakubali kupigwa.lakini tuendelee kusoma mpaka sote tujue ukweli wa mambo kwa nini wamagharibi hawamsifii nyerere?
Mna Mtu kama Sherifu Hamadi wa CUF,ndio mmoja wa vyanzo vya ubomoaji wa Nyumba Hiyo kutokana na nyufa hizo zinazoongelewa!Anayeongelea "mzanzibari au mtanganyika" katika siasa,ujue anataka madaraka tu,sio kumfikiria raia wa kawaida!Ni mwongo huyo,pia ni fisadi wa madaraka katika siasa!Watanzania: ni vizuri kukaa na shetani unayemjua,kuliko husiemjua! CCM inahitaji kujirekebisha tu! Je,jiulize wewe,CUF inaweza kubadili mambo au kutunza amani kama CCM chini ya Hamadi? Je CHADEMA inaweza kuleta mabadiliko hayo chini ya Mbowe? Hawa wakiingia madarakani tu,kwanza watajinufaisha kwanza ili wafikie kiwango cha CCM,je wewe mlalahoi utafikiriwa? Hata Kenya,waliondoa KANU,wakafikiri maisha yatakuwa mazuri,yako wapi sasa;mbona wanakimbilia Tanzania? Mtaikumbuka CCM,kama wakenya wanavyoikumbuka KANU! Hawa wapinzani wanatakiwa kubaki bungeni wakikemea rushwa;sio kupewa madaraka hata siku moja.
Hi,
Thanks alot. Naomba nami nitumie katika nyati04@yahoo.com
thanks da Subi for this,
naomba na mimi kwenye mogelaf@yahoo.com.
natanguliza shukrani.
Hi subi please nimeipenda kama hutajali pleaseaomba na mimi nitumie kwenye airportcf@gmail.com please ni faraja kubwa sana kuwa na hii kitu na kuisikiliza MUNGU IBARIKI TANGANYIKA MUNGU IBARIKI ZANZIBAR
Mungu ibariki TZ, Mungu ibariki Subi! Txks a lot but please i need also ... i couldn't download... Alledros
Great stuff subi... Been wishing to have hotuba za Mwalimu na sasa zipo... thanx
I am glad that you were able to listen to Mwalimu as well as have a copy of your own.
Da Subi asante sana kwa mtiririko huu wa hotuba toka kwa mwalimu.Maneno haya ya hekima ndio urithi wetu sisi vijana wa sasa na vizazi vijavyo.....Tafadhali Da Subi ukipata nafasi naomba unitumie hotuba hizi kwenye e-mail yangu; jovin7@hotmail.com
Asante sana!
Hello,
Thanks dada Subi. I really like this.
Honest.
MN.
Thank you for listening to Mwalimu.
Regardless of what other "ungrateful" people say about mwalimu, I loved and adored him for he really loved and served our country un-reserved. Never used his power to accumulate wealth for himself or his family like what we see today in our current leaders...Lord have mercy!
I am sailing in your boat Tim.
I love this guy (RIP), what he said makes sense to me, blessed his heart!