wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, October 14, 2009

TweetThis! Download Bonus: Hotuba za Mwl. Julius K. Nyerere

Kutokana na kuelemewa na mzigo wa wingi wa maombi ya hotuba za hayati Mwalimu Nyerere zilizopo hapa, nimeona vyema kuzibebesha kwenye mojawapo ya tovuti za kutuma mafaili makubwa "file sharing sites", tafadhali tumia muda wako kuzipakua humo ikiwa ungependa kuwa na nakala.

File Name: Nyerere 1995 CCM Dodoma - Hotuba ktk ukumbi wa CCM Dodoma.mp3
Size: 4MB |
Download Link: http://www.sendspace.com/file/zk1c6j

File Name: Mwl Nyerere JK siku ya Jumanne Machi 14, 1995 - Hotuba ktk hoteli ya Kilimanjaro. pt 3.mp3
Size: 5MB |
Download Link: http://www.sendspace.com/file/yjv59t

File Name: Mwl Nyerere JK siku ya Jumanne Machi 14, 1995 - Hotuba ktk hoteli ya Kilimanjaro. pt 2.mp3
Size: 4MB |
Download Link: http://www.sendspace.com/file/zkcth6

File Name: Mwl Nyerere JK siku ya Jumanne Machi 14, 1995 - Hotuba ktk hoteli ya Kilimanjaro. pt 1.mp3
Size: 5MB |
Download Link: http://www.sendspace.com/file/8yqggi

7 feedback :

Anonymous said... Tue Oct 13, 08:13:00 AM MST  

Asante, sina uhakika kama ni hotuba nilizokuwa nazo au hizi ni nyingine lakini shukrani kwa juhudi zako.

PPR.

Masangu Matondo Nzuzullima said... Tue Oct 13, 08:34:00 AM MST  

Kama kawaida yako - Safi sana Dada Subi. Ngoja nami niibe baadhi ya hotuba hapa. Kazi njema

chib said... Tue Oct 13, 08:56:00 AM MST  

Dada yangu nashukuru kwa msaada huu, nimepata jibu ya kiu yangu ya muda mrefu, hotuba za baba wa Taifa.

kimox said... Tue Oct 13, 11:25:00 AM MST  

Dada Subi hizi link kama ungeziupload kwenye Megaupload au Rapidshare ingekuwa bomba sana. Shukran

Kimox - DSM

Subi said... Tue Oct 13, 06:26:00 PM MST  

Anon 1, asante kushukuru
Prof. Masangu usiibe, chukua tu, nhe he hee.
Chib, nashukuru ikiwa umefaidika.
Kimox, ninao msururu wa file sharing sites ikiwa ni pamoja na hizo ulizotaja, tizama hii link hapa: Host, Send and Share files hii niliyoamua kuichukua nina sababu maalum ya kufanya hivyo.
Tumbo, asante kushukuru.

Tafadhali muwafahamishe na wengine kuhusu hotuba hizi ili nao wazipate, kwa msingi wa kwamba, elimu haina mwisho na walosema, 'ya kale dhahabu' walijua walisemalo.

Anonymous said... Wed Oct 14, 05:24:00 AM MST  

Ahsante sana dada kwa hotuba hizi kusema kweli mwarimu tunaweza sema alikuwa kama mtabiri maana mengi aliyosema kwa mnyakati zile tuliona Ayawezekani lakini sasa tunayaona kz njema

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads