wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, July 19, 2009

TweetThis! Vikosi vya Simba na Yanga: Ligi Kuu ya soka Tanzania 2009/10


SIMBA Sports Club - Wekundu wa Msimbazi
Makipa: Juma Kaseja, Ally Mustapha, Deogratius Mushi
Mabeki: Haruna Shamte, Salum Kanoni, Kelvin Yondani, Antony Matangalu, Meshack Abel, Juma Jabu, Juma Nyosso, David Naftal na Joseph Owino.
Viungo: Haruna Moshi, Nico Nyagawa, Hilary Echesa, Mohamed Banka, Ramadhan Chombo, Jabir Aziz na Amir Kiemba.
Viungo pembeni: Salim Aziz, Adam Kingwande, Uhuru Seleman na Ulimboka Mwakingwe
Washambuliaji: Danny Mrwanda, Mussa Mgosi, Mohamed Kijuso, George Nyanda na Emmanuel Okwi.


File:Young Africans.jpg

Young Africans (YANGA) Sports Club - Wajangwani
Makipa: Steven Marash, Obren Curkovic na Nelson Kimath
Mabeki: Bakari Mohamed, Nadir Haroub, Wisdom Ndhlovu, Fred Mbuna, Amir Maftah, Joseph Shikokoti, John Njoroge, Shadrack Nsajigwa na Hamisi Yusuph.
Viungo: Athuman Idd, Nurdin Bakari, Geofrey Bonny, Abdi Kassim, Razak Khalfan na Steven Bengo.
Viungo pembeni: Mike Baraza, Mrisho Ngassa, Moses Odhiambo, Kigi Makasi, Shamte Ally, Vicent Barnabas na Kabongo Honore.
Washambuliaji: Ally Msigwa, Boniface Ambani, Jerry Tegete, Robert Jama Mba na Iddy Ally.

Kwa habari zaidi za kabumbu, tembelea tovuti za Tanzania na hasa gazeti la MwanaSpoti

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads