wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, May 20, 2009

TweetThis! Ujenzi wa nyumba kwa mpangilio Bongo, Daslam

Bloga Ben Rwebangira wa BongoPicha anauliza ati unapajua kilipo kijiji hiki?
  
  
 

4 feedback :

shalom broz productions said... Wed May 20, 10:51:00 AM MST  

Hivi ndio ilitakiwa DSM yote iwe na sio dsm to bali Tanzania yote. waathirika wa mabomu kipindupindu na mabalaa mengine wangekuwa wachache sana na labda wasingekuwepo kabisa.

Mungu ibariki Tanzania!

Bariki wa Mwasaga said... Wed May 20, 11:45:00 AM MST  

Inawezekana sana tatizo ni je walio na madaraka ya Kisiasa wako tayari kuridhia mambo kama haya?? Nyumba za Halmashauri za Kinondoni na Ilala (Mchikichini) zilikpangwa kupigwa chini kujengwe kamji ka kisasa ila siasa zikazidi na ndoto za kuwa na mahali pa kisasa zififia kama siyo kufa kabisa. Wakijenga Real Esstate developers (Vibopa) watu wengi hasa watumishi wa Umma kama mimi siyo rahisi tuweze kuishi humo kwenye hizo nyumba kwani gharama yake ni kubwa labda kuwepo na ufisadi fulani wa kutuwezesha ama biashara nyingine halali ya maana itakayoongeza kipato. Changamoto hii inapaswa kutazamwa sana na Serikali

Vishnu M said... Thu May 21, 01:46:00 AM MST  

Hiki kijiji kipo kule Kigamboni, jamaa waliojenga hapo wanaitwa Mutual Developers, na hizo nyumbe zimeishauzwa zoote.Bei ilikuwa inaanzia milioni 100 mpaka300, kila mtaa wa hicho kijiji una majina ya miti iliyopo kwenye mtaa huo. Kwa mfano, mtaa wenye miarobaini unaitwa Neem street, hakuna majina ya akina Samora, Kwame nk. Ni pazuri kwelikweli, pako kwenye ufukwe wa bahari. Hao jamaaa wa Mutual wanaendelea kujenga kwenye site nyingine ambayo haiko Beach, na nyumba za huko si kama hizo kwenye picha,tayari nyumba za huko ziko kwenye mauzo.

Kijiji kingine kama hiki kipo pale Msasani/Mikocheni,kingine Bahari beach...kidogo kidogo, Tanzania nasi twaanza kuamka kwenye nyanja za Real Estate development

Subi said... Thu May 21, 02:50:00 AM MST  

Vishnu asante sana kwa maelezo na taarifa ya kina. Sikujua kama hawa jamaa wa Mutual Developers ndiyo wamependezesha maeneo, ila hiyo fedha babangu, doh, amejisemea Bariki wa Mwasaga kuwa vibopa ndio mmmh
Shalom Bro, hiyo ndoto yako kwa kweli naomba uamke kwanza maana sitarajii ikamilike katika usingizi huu, bado mzee.

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads