wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, March 15, 2009

TweetThis! Young Africans (Yanga) vs Al Ahly

Hadi mwisho wa mchezo Al Ahly (Misri) 3 na Young Africans/Yanga (Tanzania) 0
Magoli hadi sasa ni Al Ahly 3 Yanga 0
Kipindi cha pili kimeanza dakika 8 zilizopita.
Hadi kipindi cha kwanza kinaisha, Yanga walishalala kwa bao 2 patupu.
Linki ya kutizamia mechi online ni: http://www.tv2free.com/ahly_tv.php
Nimechelewa kuweka linki kutokana na sababu zisizozuilika.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads