Embed 'add/share this' option
Mara nyingi wenye blogu wamekuwa wakiwanyima uchaguzi baadhi ya wasomaji wao wa namna ya kupokea ama kuhifadhi posti za blogu zao.
Ni jambo la muhimu kuwapa uchaguzi wasomaji wako juu ya nini wanachoweza kufanya kwenye blogu yako ikiwa ni ndani ya uwezo wa 'settings' za 'host' wako.
Ukitizama kwenye blogu hii utagundua kuwa nina vipeto kadhaa vya kumwezesha msomaji kuchagua namna na jinsi ya kupokea posti zangu.
Ili kuwapa nafasi watu wanaofika kwa mara ya kwanza ama kuwapunguzia kufika mara kwa mara kutokana na muda, wape wanablogu uchaguzi wa 'subscription' ama 'sharing' au yote.
Katika blogu hii niliwahi kutumia 'ShareThis' na baadaye nikabadili na na kutumia 'AddThis' vile vile unaweza kujaribu 'AddToAny'.
Jinsi ya kuweka 'AddToThis'
Tizama video ama soma maelekezo (uchaguzi ni wako).
Watch Jinsi ya kuweka AddThis kwenye blogu | View More Free Videos Online at Veoh.com

- Kwenye tovuti ya 'AddThis'
- Upande wa juu kulia, bofya maandishi yanayosema, 'Get Your Button' (pia yanapatikana kwenye tab zilizopo kushoto juu ya ukurasa huo)
- Fanya uchaguzi kwenye ukurasa utakaofunguka 'create your button'. Ukiwa hapo, uchaguzi wa kwanza kabisa una-drop down menu ya kuchagua kati ya Sharing/Bookmark au 'Feed button'. Tofauti yake ni hii, ikiwa unapenda watu wa-sevu blogu yako, tumia Sharing/Bookmark. Ikiwa unapenda watu wa-subscribe kwenye posti zako basi tumia 'feed button'
- Kwa kutumia drop-down ya pili, chagua 'on a blog' (ikiwa una blog)
- Sasa bofya button inayosomeka, 'Get your button code'
- Itakupeleka kwenye ukurasa mwingine wa ku-login. Jiandikishe kisha fuata maelekezo.
- Select Layout and Edit HTML
- Check the Expand Widget Templates checkbox
- Copy and paste the code snippet below into the template, right after the tag
- Click Save Template
Watch Jinsi ya kuweka AddThis kwenye blogu | View More Free Videos Online at Veoh.com
0 feedback :