wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, March 08, 2009

TweetThis! Nauli mpya za mabasi Tanzania

Nimetumiwa na rafiki kopi hii akanifahamisha kuwa ndiyo ya vielelezo vya nauli mpya za usafiri kama zilivyotangazwa na Surface and Marine Transport Regulatory Authority (SUMATRA). Nimepekua tovuti ya SUMATRA naona bado hawaja-update, sijui tatizo ni shida ya umeme au muda hakuna shughuli nyingi? eniwei, bofya picha kuikuza uweze kusoma.

1 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads