wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Saturday, March 07, 2009

TweetThis! Embeding and using Lijit

Kabla ya Lijit kuanzishwa na kabla ya kuifahamu, wengi wa wanablogu walikuwa wamepanga social icons nyingi kweli mfano  eMail me, Facebook, Twitter, LinkedIn, YouTube nk. kwa minajili ya kujenga urafiki na wasomaji wao kwa njia ya 'social networks'.

Social Networking kwa siku hizi ndiyo inaelekea kuwa mbadala pamoja na / ama chanzo cha 'physical connection' and 'reunion'. Social Network zina faida na hasara zake. Nitaziandika katika posti nyingine siku zijazo. Leo tufanye kazi na Lijit.

Baada ya Lijit kuazaliwa, mara moja niliagana na social icons zote kwa kuwa mtoto mpya Lijit ana zaidi ya social icons.

Huduma za Lijit:
  • Social Icons kama vile FaceBook, Twitter, LinkedIn, YouTube nk.
  • Search box (Lijit Search)
  • Visitor stats (Visitors Map na Recent Readers) kisha "detailed report" unaweza kuisoma kwenye akaunti yako ya Lijit.
Kujiunga na Lijit ni bure, kuitumia ni bure kisha ni rahisi.
  1. Fungua akaunti na Lijit.com (click here to begin) fuata utaratibu wa kujiandikisha, fanya chaguzi mbalimbali na 'customize' lijit yako.
  2. Kuipachika lijit kwenye blogu yako, fuata maelekezo yanayomo baada ya kujiandikisha. Click picha chache nilizoandaa kupata mwanga 'overview'.

Ni hayo tu kwa sasa katika darasa la PUGU (Pata Ujuzi Gawia Umma).

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads