wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, March 08, 2009

TweetThis! Maths 101: Reading a cheque from Zimbabwe

It's a sad story altogether but insanely funny. God forbid! I can only imagine the real life in Zimbabwe.
I never liked Maths, and now with this? it's obviously true that I don't even know how to count anymore. If this was an exam, I surely would have scored a big sifuri! but, I don't think I would have wasted even a single minute trying to memorize this tongue-twisting-breath-taking quadzillion number, ....it's an indication that it's about time I get back to skuli ASAP. Click on the image to enlarge and read it loudly (at your own risk)! Don't say you were not warned.
Did you know that one hunderd billion Zim dollar can buy not only one or two, but 3 eggs? Now that's healthy!

2 feedback :

MAKULILO Jr, said... Mon Mar 09, 04:13:00 AM MST  

Da Subi,
Kweli kuna umuhimu wa kurudi skuli, mi nilipghwa mswaki wa namba wakati wa NECTA form four, sasa hapa nimepata wakati mgumu wa k,uisoma loud, hahahahaha kweli it is at my own risk.

Hii inaonesha ni kiasi gani Inflation ilivyo kubwa kufikia asimilia zaidi ya laki na ushee.Ni janga kubwa sana, mtu unanunua embe kwa zaidi ya milioni 40, oohhh my God.Siasa ni mbaya sana, ndio imefanya yote hayo, huku mke wa Rais Mugabe alikwenda kutumia zaidi ya dola za kimarekani milioni kadhaa kwa manunuzi huko Italy ndani ya masaa machache, shoping ya kmrismasi, kweli janga hili

MAKULILO Jr
www.makulilo.blogspot.com

Martin said... Mon Mar 09, 08:03:00 AM MST  

Mh yani karibia nakosa comment!!!!
kwakifupi muuaji wa nchi hiyo ni wazimbabwe wenyewe na kina kikwete wa afrika!!!...wameshindwa kabisa kumtoa huyo bwana. wananchi wangeanzisha mpwiriripwiriri kama ule uliofanya na wakenya huyo bwana angetoka!!! wakenya wako very aggressive!! kina kikwete wameshindwa kumtoa ni kwa makusudi tu sababu hata wao wanajua kuwa hawako tayari kushindwa kwenye nchi zao!!! ndo mana hata kibaki walimkalia kimya mpaka bushi atoe agizo!!
sasa hizo septillions sijui metrotrillion si manake turudi darasani jamani!!!
hiyo cheki nashauri angepewa mugabe atusaide kuisoma na kutafsiri (make inahitaji kutafsiriwa hiyo).
mimi nadhani mugabe akiiona hiyo cheki atawaachia watu wengine wajaribu kuingoza nchi ha ha ha ha haaaaaaa..mh..mpaka machozi yani..

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads