wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Thursday, November 20, 2008

TweetThis! Tangazo : Michuzi Jr2 aka WANYAMBALA anahama

Mwana blogu wa blogu ya Wanyambala, ndg. Michuzi Othman alias MichuziJr2 anatarajia kuhama kutoka Blogspot kuelekea Wordpress.
Tangazo hili anaomba liwafikie wapenzi wasomaji wa blogu yake.
Sehemu ya ujumbe wake alioniandikia, Othman anasema:

...naomba pia kuchukua nafasi hii kukufahamisha kwamba sasa hivi napatikana zaidi katika mtaa huu michuzijr2.wordpress.com na baadae nitaufunga kabisa ule mtaa wa zamani wa othmanmichuzijr.blogspot.com
Ni hayo tu...


  

Safari njema Othman, na bila shaka tutakutembelea katika makazi yako mapya kujua yanayojiri.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads