wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, August 09, 2009

TweetThis! Tatizo kwenye tovuti ya Serikali ya Tanzania - Malicious links found!

Hivi kuna watu wanashughulika kutizama usalama wa tovuti ya Taifa?
Watu kadhaa wiki iliyopita wamekuwa wakilalamika juu ya tangazo linalojitokeza kila wanapotaka kuzuru tovuti hiyo na kuishiwa kupewa onyo kuwa tovuti hiyo inaweza kudhuru tarakilishi zao.Natumai webmaster atashughulikia suala hili ambalo ni sawa na mlango rasmi mkuu wa kuingia Tanzania kupitia intaneti, sijui inakuwaje kuwa inawezekana lango kuu linakosa lindo.

What is the current listing status for www.tanzania.go.tz?
Site is listed as suspicious - visiting this web site may harm your computer.
Part of this site was listed for suspicious activity 11 time(s) over the past 90 days.
What happened when Google visited this site?
Of the 1966 pages we tested on the site over the past 90 days, 110 page(s) resulted in malicious software being downloaded and installed without user consent. The last time Google visited this site was on 2009-08-09, and the last time suspicious content was found on this site was on 2009-08-07.Malicious software includes 30 exploit(s), 6 trojan(s). Successful infection resulted in an average of 1 new process(es) on the target machine.
Malicious software is hosted on 14 domain(s), including send29931.cn/, cverutuz.cn/, varrugilanto-2.com/.
3 domain(s) appear to be functioning as intermediaries for distributing malware to visitors of this site, including send29931.cn/, drocuwil.cn/,pornoscash.com/.
This site was hosted on 1 network(s) including AS7393 (CYBERCON).
Has this site acted as an intermediary resulting in further distribution of malware?
Over the past 90 days, www.tanzania.go.tz appeared to function as an intermediary for the infection of 3 site(s) includingbusinesspatrol.com/, 202.181.214.0/, 202.181.210.0/.
Has this site hosted malware?
Yes, this site has hosted malicious software over the past 90 days. It infected 2 domain(s), including 202.181.210.0/, businesspatrol.com/.
How did this happen?
In some cases, third parties can add malicious code to legitimate sites, which would cause us to show the warning message.
Next steps:

3 feedback :

Mzee wa Changamoto said... Sun Aug 09, 05:56:00 PM MST  

Unashangaa??? Huyo anayefanya hivyo tukimkamata tutampeleka mahakamani na SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE. By the way, kwani akiingia kwenye tovuti anafanya nini? Ataua uchumi wetu? Kwani hukusikia kuna jamaa aliyeingia mpaka Ikulu na kuondoka na ua lililokuwa ndani ya Ikulu? Alikamatwa baada ya mtu kuhisi kuwa ameiba ua na si kwa kuwa aliingia bila idhini. Na akamwambia Hakimu kuwa alitaka ku-prove kuwa hakuna ulinzi kwenye jengo kuu la taifa kiasi cha mtu kama yeye anaweza kuingia bila kukaguliwa na bila kuwa an shughuli yeyote ndani ya Ikulu

Subi said... Sun Aug 09, 06:20:00 PM MST  

Ukiona hata hawastuki na wiki nzima imepita, ujue hamna kitu humo ndani au vilivyomo ni vya kufoji, taabu hawajui kuwa kutokushughulikia tatizo hili itakuwa rahisi kufanyiziwa kama wakati fulani walifanyiziwa na tovuti ya bunge ikaenda mikononi mwa wafanya biashara wa ngono.
Hii ni aibu kwa taifa, lakini kwao aibu ni msamiati hivyo hawajui maana yake.
We are doomed!

Mzee wa Changamoto said... Sun Aug 09, 07:53:00 PM MST  

Afadhali umesema kuwa aibu ni msamiati. Si unajua kuwa KUTOKUWA NA AIBU NI MTAJI. Unaweza kuyfanya mambo ya kipuuzi na usijishitukie ilmradi yanatimiza lengo lako.
Yaani we acha tu

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads