wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Friday, July 31, 2009

TweetThis! Video: Mitaani Zanzibar

JourneyManGallery akitalii Zanzibar kachukua video ya mitaa alikopita. Watu na shughuli zao, tizama...

3 feedback :

Mzee wa Changamoto said... Fri Jul 31, 06:42:00 PM MST  

Japo video yenyewe yaumiza macho kutokana na ku-shake, lakini nimefurahia mambo mawili. Kwanza ni huyo Journeyman kuzungumza kiSwahili na kwa wale watoto kumuongelesha kiIngereza. Labda nyongeza ya nilichopenda ni kuona mapokopoko manjari ya nyumbani.
Ambacho sijaelewa ni nia yake ya ku-shoot kwani sijaona alipowekea mkazo kama "subject" yake naona amekatiza mitaa na kamera imekuwa iki-move saana utadhani ni zile za ma-undercover zilizofungwa kwenye mashati.
Blessings Dada

Subi said... Fri Jul 31, 06:51:00 PM MST  

Mzee, unajua siye tusivyopenda kupigwa picha ama kuchukuliwa video sasa ndo kilichompata. Kaenda jana'ke kashindwa kufanya lolote, ndo kesho yake akili ikamjia afunge kamera yake shingoni kisha aanze kukatiza mitaa apate ukumbusho. Alikuwa mapumzikoni kwa hivyo hakuwa na lengo la kuchukua video nzuri bali ukumbusho tu wa Zenji.

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads