wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Friday, July 31, 2009

TweetThis! Driving , Texting & Talking on phone, all at once!

Anaongea na kutext na kuendesha gari.
Hii si bure, iko namna, iko tu, atakuwa alikuwa kanywa kitu au kavuta kitu, si bure, mmmh, nakataa, haiwezekani.
Tafadhali, ishia kusoma na kuwaza tu, usijaribu hii tafadhali! Utakufwa! oh oh.

Niagara County sheriff's deputies say 25-year-old Nicholas Sparks of Burt admitted he was texting and talking when his flatbed truck hit the car Wednesday morning in Lockport (N.Y, USA). The truck then crashed through a fence and sideswiped a house before rolling front-end first into an in-ground pool.
The 68-year-old woman driving the car suffered head injuries and was in good condition. Her 8-year-old niece suffered minor injuries.
Sparks was charged with reckless driving, talking on a cell phone and following too closely. It couldn't be determined Thursday morning if he has a lawyer.
News source: AP via Yahoo News

2 feedback :

Egidio Ndabagoye said... Fri Jul 31, 11:47:00 PM MST  

Naweza kukubali,udosini kuna vituko mara nyingi nawaona jamaa wanaendesha piki piki,atatuma ujumbe mfupi au anaongea na simu.Na yuko makini,kuna msemo madereva wa udosini ni makini dunia nzima.

Subi said... Fri Jul 31, 11:56:00 PM MST  

Mtu kuweza kuendesha gari Udosini anahitaji kupewa leseni ya Kimataifa. Huko ni mojawapo ya maeneo duniani ambako ukifaulu kuendesha vyema, basi haidhaniwi kuwa utashindwa kuendesha gari kokote. Udosini, Uchina na Japani mmmh, yataka moyo. Sijui kwingineko.

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads