wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, July 22, 2009

TweetThis! Mtoto "wa MJ" wa miaka 25 huyu hapa

Kwa mujibu wa habari kwenye baadhi ya tovuti mtandaoni, inaelekea marehemu Michael Jackson, alikuwa na mtoto mkubwa tu wa kutimu miaka 25 hivi. Habari kwa mujibu wa gazeti la DailyMail la UK zinadai mtoto huyo wa MJ jina lake ni Omer na alizaliwa na mwanamke wa kiNorway ambaye nina lake ni Pia. Picha zilizopo hapa zinaonesha Omer akiwa mstari wa mbele pamoja na ndugu wa karibu wa MJ akishiriki shughuli za maziko ya MJ. Habari zinaendelea kusema kuwa Mama wa mtoto, Mtoto na Baba wa kufikia 'walitunza siri' kadiri ya makubaliano yao na ndicho kilichosababisha waendelee kuwa na mawasiliano na MJ.
The Thriller singer reportedly told close friends several years ago that he fathered Omer after a one-night stand with a Norwegian fan in 1984.
The existence of Omer first became public in 2003 when US TV show Dateline broadcast a 1998 home video of him receiving gifts from Michael.

In 2003, Omer was photographed visiting Michael when the star was having a 'detox' holiday in Colorado.
Read the full story: http://www.dailymail.co.uk/tvshowbiz/article-1201374/Michael-Jacksons


Nilizitizama picha hizi, ikanibidi kushangaa kwa kikabila fulani, 'mbuta mbuta, apaaaa fotokopi! Mbuta! Chapa kabisa! tena si black and white, hii ni colored photocopy yenye resolution na pixel za juu kuliko zote. Mbuuuuta! Kelewouwi!'.

Habari kamili kama ilivyoandikwa kwa lugha ya Kiingereza inasomeka hapa http://tiny.cc/MJson

Rebbie Jackson, Janet Jackson Omer Bhatti Michael Jackson memorial 
Omer was sat in between Rebbie and Prince Michael I on the front row


Family ties: Omer Bhatti (circled) sat among Jackson family members (L-R) Rebbie, Janet, Randy, Tito, Marlon, Jackie and Jermaine at the memorial service at LA's Staples Center on July 7

MICHAEL JACKSON WITH YOUNG DOUBLE OMAR BHATTI. MICHAEL JACKSON ON TOUR IN TUNISIA, AFRICA - 1996
Friends or family? Michael Jackson pictured with 12-year-old Omer after meeting in a Tunisia hotel in 1996


OMER BHATTI, ALLEGEDLY MICHAEL JACKSON'S SECRET SON - 2001  Michael Jackson's children (2nd L-R) Paris, Prince Michael II 'Blanket' and Prince Michael, sing on stage during the memorial services for pop star Michael Jackson
Similarities: Omer, pictured as a 17-year-old in 2001, shares a likeness with Michael's youngest son Blanket

MICHAEL JACKSON WITH YOUNG DOUBLE OMAR BHATTI MICHAEL JACKSON ON TOUR IN TUNISIA, AFRICA - 1996
Close: Omer impressed Michael by dressing as the singer and copying his signature dance moves.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads