wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Monday, July 20, 2009

TweetThis! Maisha ya Bongo? mbona utapenda mwenyewe!

Huko Tekeke, kamera ya bro Mjengwa ilimnasa askari akitembea kwa raha zake huku anapiga stori na shoga'ke kama vile hamna noma wala nini. Watoto nao wapo bize na michezo yao, kinawahusu nini. Kijana kati hapo anachekiii, nadhani anakariri a to z ili akatoe mchapo kijiweni. E bwana ee, bongo shwari asikudanganye mtu walahi.

[darajani.jpg]

1 feedback :

Mzee wa Changamoto said... Mon Jul 20, 11:52:00 AM MST  

Yaaaaaaaaaaaa! Askari ni kama "kakurupuka" huko alikotoka. Angalia uvaaji wake na hizo sijui ni kandambili ama nini. Na angalia alikoelekeza bunduki hiyo. Ndio kwetu huko Da Subi. Heshima ya kazi ilishapotea zamaaaani.
Naacha

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads