wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, June 07, 2009

TweetThis! Yana mwisho, hatimaye Omar Bongo dies

The president of the oil-producing state of Gabon, El Hadj Omar Bongo Ondimba, has died at the age of 73. He entered Gabonese government in 1965 as the Vice President before becoming the country's President in 1967. He has entered the records as Africa's longest serving ruler following 42 years in power.

In March, he had officially been in a clinic in Barcelona for medical check-up (sources said he was being treated for cancer). His wife, Edith Lucie Bongo Odimba (daughter of Congo President Denis Sassou Nguesso), died in Morocco in March at the age of 45 after a long illness.

Since reports of his illness came out, debate has been going on over who would take over the country's leadership and it is suggested that his son, Defense Minister Ali Ben Bongo, was being groomed to take over.

Info source, various at http://www.google.com/search

2 feedback :

Mzee wa Changamoto said... Sun Jun 07, 05:44:00 PM MST  

Well! Lucky Dube aliimba kuwa "One monster dies, another one comes alive."
Umesikia wanayemtajataja kutwa madaraka? Mwanae. Unajua mwanae ameshuhudia "utamu" wa babake kukaa madarakani mpaka anakufa? Unadhani kuna "mbegu" ya kuachia madaraka iliyomo akilini mwake?
Yana mwisho dadangu, lakini kama anayechukua madaraka ni mwanae, basi mwisho uko mbali ama tuseme ni mwanzo wa mwisholess mwingine.
Blessings

Masangu Matondo Nzuzullima said... Sun Jun 07, 06:52:00 PM MST  

Tabia ya madikteta hiyo kufia madarakani na kisha kurithisha madaraka watoto wao. Hata njemba wa Korea ya Kaskazini ambaye naye inasemekana afya yake inalegalega tangu apate pigo dogo la kiharusi tayari ripoti zinasema ameshamteua mtoto wake mdogo kuchukua madaraka. Mtoto wake huyu mdogo hata umri wake haujulikani na inasemekana aliwahi kusoma kule switzerland kwa kutumia jina la bandia. Kama alivyosema Mzee wa Changamoto huyo mtoto wa Bongo akikamata madaraka (tayari ni waziri wa ulinzi) basi hapo shughuli inaanza upya kabisaaa. Ndiyo maana mimi nitazidi kumpenda Nyerere wetu. Tulikuwa na bahati sana sisi!

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads