Video: Ujumbe wa watoto juu ya UKIMWI
Wapende watoto. Wafunze. Waongoze vyema. Usiwaonee. Usiwadhulumu. Usiwapotoshe!
Ukatili kwa watoto ni kujijengea Taifa la watu katili ambamo sote tunaishi. Ni hasara kwetu sote.
Ukatili kwa watoto ni kujijengea Taifa la watu katili ambamo sote tunaishi. Ni hasara kwetu sote.
0 feedback :