wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, June 07, 2009

TweetThis! Picha za matukio mwisho wa wiki Tanzania

Hii ndiyo sura nyingine ya Tanzania yetu!


Da Rehema Juma, msafiri aliyekwama kituo cha treni Dar baada ya kuahirishwa safari kuelekea Kigoma kutokana na mgomo wa wafanyakazi wa Reli. Wasafiri walirejeshewa nauli zao na kila mmoja kuanza kuwaza 'itakuwaje sasa?'


Baadhi ya wakazi wa Mbagala wakihama maeneo yao baada ya nyumba zao kubomolewa na milipuko ya mabomu ya Aprili 29


Mkazi wa Mbagala akiwahishwa hospitali kutokana na mstuko alioupata wa milipuko ya mabomu eneo la Mbagala.


Waziri mkuu Mizengo Pinda akiongoza matembezi ya kilomita tano kwa ajili ya kuchangia mfuko wa chakula mashuleni mkoani Arusha. Kulia kwake ni balozi wa Shirika la Chakula Duniani na kushoto Mkurugenzi wa kampuni ya IPP

Picha toka Habari Leo zimepigwa na Bernard Rwebangira

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads