wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Friday, June 05, 2009

TweetThis! Bandari ya Salama kukosa maji kesho

WAKAZI wengi wa jiji la Dar na mji wa Bagamoyo watakosa huduma ya maji ya bomba kesho Jumamosi, Juni 6 kwa saa 12.
Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASCO) kesho itazima mtambo wa Ruvu Chini kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni.
Huduma inatarajiwa kurejea katika hali yake ya kawaida siku ya Jumapili majira ya Asubuhi

Habari kwa mujibu wa blogu ya Basil Msongo

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads