Audio: Hotuba nzima ya Raisi Kikwete bungeni Juni 10, 2009
Sikiliza hotuba ambayo pia inapatikana katika maandishi kwenye posti iliyopita hapa (bofya)
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com
label: Audio-Video |
4 feedback :
Sijaisoma wala kuisikiliza.Ngoja niisikilize labda nimeteuliwa ukuu wa wilaya!
ha ha haa, tungeshakwambia na kukupa pongezi na kukutaka utukumbuke kwenye himaya yako. Ila ni mawazo na ndoto nzuri!
Sijawahi kuvaa fulana ya kijani na kofia za njano wala siko kwenye zile kamati za saidia ushindi.Sitegemei kuwa mmoja wao.
Na haya majina yetu wengine nitaambiwa sio raia.
Kuvaa kovia za rangi manjano na shati kijani na suruali nyeusi watakufundisha tu ukionesha nia, usitie shaka ha ha ha. Majina, ah, mbona umesahau, 'ukila ma kipofu usimguse mkono'? Tanzania bwana, ah,we acha tu.