wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Saturday, May 23, 2009

TweetThis! Video: Umewahi kuwasikia wanapojifunza KiSwahili?

Someni kwa furaha hatua ya...
Wikiendi njema!

2 feedback :

Maxb said... Sat May 23, 05:03:00 AM MST  

Kaaazi kweli kweli!!!!!!!!!!!. Sasa kama moja ni mwalimu wa mwenzake ni hatari tupu. Wanafanya direct translation ... word to word.

Subi said... Sat May 23, 12:47:00 PM MST  

Maxb, wanasema wape nafasi, wamepiga hatua kutoka sifuri hadi 'bara hindi'.
Taratibu ndiyo mwendo, nadhani nao wanatusanifu hivi hivi tukibwabwaja lugha zao.
Kama ulivyosema, kaazi kweli kweli.

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads