wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, May 20, 2009

TweetThis! Maisha bora kwa kila MTanzania!

Muungwana,
  • Najua utajitetea kuwa huwezi kumlazimisha kila mtu ili afanikiwe kuishi vizuri.
  • Najua pia kuwa utajitetea kuwa haya ni matatizo ya mtu mmoja mmoja na utawezaje kuyashughulikia yote kwa wakati mmoja?
  • Vile vile najua utajitetea kuwa kuna mambo mengine mengi ya muhimu zaidi kuyashughulikia.
  • Sijasahau kuwa utasema kuna watendaji wa kushughulikia haya, si lazima kila jambo ashughulikie Raisi.
  • Bila kusahau, najua utasema sioni jitihada na mafanikio uliyokwisha kufikia hadi leo, basi niache kulalamika na kusifia kidogo.
Hapo hujanipata na najua fika kuwa kelele zangu hazikusumbui, hewala... ila chunga sana usijeuuuta!
Siku moja marehemu Babu alisema, 'Uraisi ni mzigo. Ukipita huku na kule ukiona watu wana taabu unajua ni mzigo wako huo', naam, aliyasema hayo miaka kumi na minne iliyopita (1995), bado ninyi hamjayasikia.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads