Video : Siri ya mafanikio ya kupunguza vifo vya uzazi
Nchini Tanzania, tatizo la vifo vya uzazi ni kubwa lakini ukubwa wa tatizo lenyewe unatofautiana kwa kiasi kikubwa katika maeneo mbalimbali.
Wananchi wanaoonekana katika majadiliano kwenye filamu hii ilirekodiwa katika maeneo matatu tofauti nchini Tanzania, wanabainisha sababu za kuwepo kwa tofauti za takwimu za vifo vinavyotokana na uzazi na jinsi ambavyo vinaweza kudhibitiwa kulingana na rasilimali na uwezo wa jamii husika. Tofauti hizi ndizo sababu hasa za kupungua ama kuongezeka kwa vifo vinavyotokana na uzazi na zikidhibitiwa zitapunguza vifo hivyo. Maeneo yaliyorekodiwa ni katika wilaya za Lushoto (Tanga), Moshi Vijijini (Kilimanjaro) na Serengeti (Manyara).

0 feedback :