wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Tuesday, April 21, 2009

TweetThis! Photos : African First Ladies Health Summit - Los Angeles, CA

On April 20-21 fourteen first ladies from across Africa convened in Los Angeles for the African First Ladies Health Summit to discuss some of the most pressing issues facing the continent - women's health, education and the HIV/AIDS epidemic. The women met with experts, educators, analysts and doctors to identify new ways of moving forward to help empower Africa's women and girls.

You can watch the event in video at USDFA website here (click)
Jama, picha ya Mama Salma Kikwete sikuwa nimeipata kokote wakati naandaa hizi nyingine. Niliperura mpaka nikachoka na sikupata ndiyo maana sikuiweka. Sasa nimeiona toka kwa kaka Beda Msimbe wa Lukwangule Ent., tafadhalini msinitoe macho bure.
[8E9U7257mama+kikwete+akihutubia.JPG]
Her Excellency Salma Kikwete of Tanzania (United Republic of).

[8E9U7465mama+kikwete+na+mke+wa+brown.JPG]
(R-L) Her Excellency Salma Kikwete of Tanzania (United Republic of) and Sarah BrownUS Doctors for Africa Founder Ted M. Alemayhu (left) and Executive Secretary of African Synergy against AIDS and Suffering, Jean Stephane Biatcha welcome Africa's first ladies.
Queen Inkhosikati LaMbikiza of Swaziland


Her Excellency Ana Paula Dos Santos of Angola.


Her Excellency Mathato Sarah Mosisili of Lesotho


Ida Odinga of Kenya (spouse of Kenya's PM)


Her Excellency Thandiwe Banda of Zambia


Her Excellency Sia Nyama Koroma of Sierra Leone


Her Excellency Hadjia Laraba Tandja of Niger


Her Excellency Adélicia Barreto Pires of Cape Verde.


Her Excellency Penehupifo Pohamba of Namibia


Her Excellency Chantal Biya of Cameroon


Her Excellency Turai Umaru Yar-Adua of Nigeria
First Ladies of Cape Verde, Cameroon, Angola, Swaziland and Niger (bottom row: L-R)


Hii tabia ya kulala sijui wameambukizwa na waume zao ama ni ugonjwa usioepukika? ha ha haa! la haula!
All rights reserved by Sarah McGowan for The WIP
Photo source : Flickr

20 feedback :

msimbe said... Tue Apr 21, 09:47:00 AM MST  

good pics sis lakini huyu wa cameroon vipi vile na kweli huku kulala lazima wameambukizwa.

Subi said... Tue Apr 21, 10:07:00 AM MST  

Mama JK sijapata picha yake, ila zipo ambazo zimetundikwa kwenye blogu za baadhi ya WaTz zikionesha mapokezi yake alipofika Marekani.

JAZZ said... Tue Apr 21, 11:40:00 AM MST  

Wakwetu mama JK naona yeye baada ya kupokelewa kaamua kuchukua siku nzima kufanya makeup kabla ya kuungana na wenzie.
Naona bado hajakamata sawasawa huruka ya mumewe mzee front line

NDU WA MUDIO said... Tue Apr 21, 01:11:00 PM MST  

Mbona ulituonyesha picha ya mama aliipofika akipokelewa na shada zuri la maua
alipofikia hotelini kwake.Na mbona utuonyeshi picha yake akiwa na wenzake kwenye huo mkutano?

Guest said... Tue Apr 21, 01:35:00 PM MST  

nasikia Mama Salama alionekana Ross na TJ max akifanya vishopping kidogo< baadae alikwenda applebees kupata chicken wings kidogo........
Akimaliza tutawataarifu........kwani kikao ata kesho tunaweza kuatend

MAKULILO, Jr. said... Tue Apr 21, 04:44:00 PM MST  

Da Subi,Kwanza nashukuru kwa mapicha haya mazuri.Pili napenda kutoa maoni na maswali mbalimbali kuhusiana na mkutano huu.1. Tunaposema huu ni mkutano wa First Ladies, nafahamu huu ni muungano/umoja wa wake za marais barani Afrika. Mimi binafsi napingana vikali na jina la organization hii.Hii inatokana na suala la wanawake/wake za marais wa sasa kukubali moja kwa moja kuwa kamwe mwanamke haruhusiwi kuwa rai.Na mfumo dume hauna maana yoyote kwa sasa, tunaangalia uwezo.Sijui inakuaje hapa.Nafaham kabisa rais wa Liberia ni Mwanamke, yeye haruhusiwi kuhudhuria kikao hiki kwa kuwa ni Rais.Je, mme wake ni member wa umoja huu wa wake za marais?Na kama ni member inakuaje awemo wakati yeye si mke?Yeye ni First man sijui, au First Gent (naomba kujua jina la cheo kinaitwaje).2.Da Subi, hebu tusaidie kupata picha ya mwakilishi wa kutoka Liberia.Nataka kufahamu zaidi nani hasa amekuja kwenye huo mkutano.Ni mme mwenyewe au?3. Kuhusu uwakilishi wa kenya.First Ladies ni wake za marais.Namuona mke wa Odinga ndani ya nyumba, inamaana Kibaki kapigwa bao sio rais tena?Nifaham mimi hata kama rais anakua ni head of state, na waziri mkuu anakua ni head of government, bado mke wa rais ni first lady.Na hapa kuna technical mushkeli ndani ya Kenya, watani wa jadi (Kama Michuzi anavyowaita jina hilo la watani wa jadi).Maana hata Da Subi naona umekiri kuwa mke wa Odinga ni Her Excellency, inabidi tuone ule mkataba fresh wa amani wa kenya, inaonesha Kibaki pale ni kizungumkuti tu kama yupo yupo.4. Mke wa Muswati ni mzuri.Naona anafanana na Maimatha Jesse, au nimekosea Da Subi?Maana naona hadi rangi ya mavazi, na style inakuja kwa Maimatha flani hivi.Kweli Muswati noma, anachagua TBS tupu.MAKULILO, Jr.www.makulilo.blogspot.com

Dory said... Wed Apr 22, 03:46:00 AM MST  

jamani mama wa nigeria nini vile kama anaumwa?kama alikuw anaumwa siangebaki nageria kwake,halafu kavaa nini jamani wanavyovaa aga vizuri kwenye mamove yao, dah umewaangusha wamama wa nigeria

Guest said... Wed Apr 22, 04:50:00 AM MST  

Kweli ndugu yangu Makulilo Jr nadhani umechanganyikiwa, jamani au umepofuka?
Hivi kweli unaweza kumfananisha mke wa Mfalme Mswati na huyo Maimartha Jesse bingwa wa mkorogo Tanzania? Sijui hata nikuambie nini? Anyway pole sana nadhani kitabu kinakupeleka kubaya. All the best! 

mtz said... Wed Apr 22, 06:45:00 AM MST  

Makulilo Jr nakuunga mkono,mke wa mswati kama Maimamartha wa Jesse kabisa,ni mzuri sana kama mAIMARTHA.
Maimatha jamani ile ni rangi yake,ila anaweka make ups kidogo ndo zinazompendezesha vile.
huyu wa nigeria mbona kavaa vibaya kiasi hiki. anatisha

Subi said... Wed Apr 22, 07:26:00 AM MST  

Makulilo,
Niliona hilo uliloliona kama kosa kuhusu Kenya lakini nililiacha makusudi kwa kuwa sikujua undani wake, sasa nimefuatilia na kugundua kuwa yeye si H.E. na tayari nimeshabadilisha.
Picha ya Mama Salma Kikwete nimeipata na kuibandika.
Maswali mengine wala sina majibu yake hivyo sitaweza kuongeza ama kupunguza katika ulichoandika, pengine wasomaji wenye majibu wataweza kujibu kwa ufasaha, vinginevyo ukiona kimya basi ujue kila mtu na hamsini zake ajuavyo yeye.

neole said... Wed Apr 22, 07:52:00 AM MST  

jamani mmempenda mama mswati sababu ya uzuri au EXPOSE' ? sababu mimi nadhani mama JK anamvuto zaidi

okama said... Thu Apr 23, 01:17:00 AM MST  

naona mswati kama kawa fulu kuuza sura! halaf huyu first lady wetu mbona kwenye picha ya pamoja hayupo? au alikua kesha enda kufanya shopin?

Guest said... Thu Apr 23, 04:42:00 PM MST  

Duh mama mswati kiboko,lakini mswati si anawake wengi so huyo alieenda ni wa ngapi? Wa cameroon nae hizo nywele ni kiboko

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads