wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Friday, April 24, 2009

TweetThis! Mbunge wa Biharamuro Magharibi afariki dunia

Bw. Dullo wa DulloNet anataarifu kuwa:
Aliyekuwa mbunge wa Biharamuro Magharibi Mh.Fares Kashemeza Kabuye amefariki dunia katika ajali ya gari huko Morogoro.
Habari toka kwa viongozi wa TLP zinasema marehemu Kabuye alikuwa nakuja kwenye uchaguzi Mkuu wa TLP.
Ikumbukwe kwamba Marehemu Kabuye ndiye aliyekuwa Mbunge pekee wa TLP katika uchaguzi wa mwaka 2005, habari kamili inakuja.

First Name:Phares
Middle Name:Kashemeza
Last Name:Kabuye
Member Type:Constituency Member
Constituent:Biharamulo Magharibi
Political Party:TANZANIA LABOUR PARTY
Office Location:P.O.Box 21, Biharamulo
Office Phone:+255 784 657254
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:pkabuye@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Start Date:28 December 2005
End Date:27 December 2010
Date of Birth1 January 1938
Ukurasa wa wasifu wa Marehemu kutoka tovuti ya Bunge

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads