wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Tuesday, March 24, 2009

TweetThis! Sikiliza simulizi la safari ya Kwanza Jamii na Maggid Mjengwa

Leo nimefurahi kuisikia sauti ya bloga, mwandishi, mwalimu na mjasiriamali na mwana jamii ndugu, Maggid Mjengwa. Aliyoyazungumzia kwa hakika yamenisababisha kufurahia maendeleo ya TeknoHaMa katika kufahamishana yanayojiri na zaidi sana, kupata picha halisi ya jamii yetu kwa ajili ya mikakati na mipango ya kuikomboa Kwanza Jamii!


0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads