wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Saturday, March 07, 2009

TweetThis! Embed custom comment box

Jinsi ya kuweka 'custom comment box' kwenye blogu.
Zipo chaguzi mbalimbali za 'custom comment box' mfano unaweza kutumia JS-Kit, IntenseDebate, Disqus nk. Mimi natumia JS-Kit kwa sasa kwa kuwa ni rahisi kuiweka kwenye blogu(installation) na ina chaguzi nyingi!
Maelekezo:
JS-Kit does more than just replace Blogger’s built-in commenting system. It imports existing comments and provides live synchronizaiton of new comments with Blogger.
Every time a visitor leaves a comment on your blog using JS-Kit interface, the comment is instantly copied to Blogger’s built-in commenting system. If for any reason you disable JS-Kit Comments on your blog, your visitor comments will be preserved on Blogger.

Step 1: Importing your comments

All $X$ comments imported from $yourblog$.blogspot.com. Live synchronization activated.
Blog URL:
http://
Account:
Password:
show password

Step 2: Activating JS-Kit Comments

Template processed.
  1. Go to Blogger and login. You will be redirected to "Edit HTML" tab on your Blogger Dashboard.
  2. Click on "Download Full Template" and save the template file on your computer.
  3. Locate it using "Browse..." button below and click on "Process Template":

  4. Save the resulting JS-Kit-enabled template on your computer.
  5. Go to your Blogger Dashboard page again and upload the new template. This completes the integration process.
Ni vizuri ukajiandikisha na kuwa na akauti kwenye JS-Kit ili uwe administrator/mratibu wa comment box yako na uweze kubadili kadiri unavyopenda.

4 feedback :

MAKULILO Jr, said... Sat Mar 07, 09:10:00 PM MST  

Da Subi,
Kuna mdau mmoja ktk comments zake zilizopita, jana au juzi alisema uache fani yako ya utaalam wa mambo ya afya na uwe mwalimu wetu.Kweli naungana na hoja hiyo...sio lazima uache, ila angalia uwezekano wa kulifanyia kazi suala hili Da Subi, unakipaji cha ualimu pia.
s
Nashukuru kwa msaada wako wa PUGU.
Tupo pamoja dada
s
NB: Kumbuka kurekebisha saa yako kesho usiku, kuongeza lile saa moja letu tulilopoteza.
s
MAKULILO Jr,

Subi Nukta said... Sat Mar 07, 11:35:00 PM MST  

Ha ha haa 8-) kazi inaendelea na wakati wa mapumziko naishi kauli mbiu ya PUGU.
Ile saa na majira yapo sahihi kwa majira ya Dar Es Salaam, Tanzania na inapatikana timeanddate.com na hawajakosea kwani huo ndio muda wa Dar. Dira yangu siku zote ni Dar kwa kuwa mimi ni MTanzania.

Instant Web Host Setup said... Fri May 01, 10:24:00 PM MST  

Habari zinanukia na kusema kuwa ili kujisafisha na kuondoa sura ya madoa ya EPA RADA Kiwira na dalili zozote za kuitwa Chama Cha Mafisadi CCM imeanza kampeni za usajili wa wagombea Udiwani na Uchaguzi

Instant Web Host Setup said... Fri May 01, 10:25:00 PM MST  

Hivi nauliza wananchi kukataa kuwachagua wasomi sana wengi kwenye bchaguzi b mbalimbali kwa wingi ni hasira ya wananchi kwa kuwa wasomi wakubwa hawatimizi matakwa yao au ni kwa sababu wanaona wasomi sana hawaitumii elimu yao kwa faida ya b b
http://www.marblehost.com/how-long-does-it-take-for-my-account-to-be-setup-after-signing-up.php

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads