wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Thursday, March 19, 2009

TweetThis! Mjadala wa F. Agogo kujiunga Simba S.C

Sijui ni dharau ama ndiyo ukweli wenyewe; kuna hii habari imeandikwa kwenye baaadhi ya vyombo vya habari vya Ghana na Tanzania kuhusu mchezaji F. Agogo kujiunga na Simba S.C, nimekuta mjadala kwenye forum ya Ghana wanajiita GhanaWeb (bofya hapa ukitaka kusoma), nikasema wasijetoana macho, siku hizi nadhani watu wanatizama "maslahi" na kutumia lugha ya "ifae nikufae".
Habari yenyewe inasomeka hivi:
Ghanaian striker Franklin Agogo has joined Tanzanian side Simba Sports Club for trials before signing a contract depending on his performance.
Simba's head coach Zambian Patrick Phiri said Agogo has been given an opportunity to prove his worth.
Should the striker meet the satisfaction of the team officials, he would be signed for next league season.
Phiri said Simba are in need of reinforcing the team`s forward line to ease scoring profligacy.
The Zambian coach is currently intensifying Simba team in a bid to resume league action with a bang.
According to Phiri, he has worked out with defensive and midfield woes but striking is still a job unfinished.
Third placed in the league standings, Simba need to overtake second placed Kagera Sugar to build up hope of finishing second in the premiership.
The two teams are separated by two points after 15 league appearances.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads