wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Saturday, March 14, 2009

TweetThis! Film Documentary – Portrait of Gen. Idi Amin Dada

"Our father had his faults. I do not see the period of his rule in Uganda with "rose tinted glasses". However, we need to counter balance history with all the truth!" says Tshombe Jaffar Remo Amin (Jaffar Amin), a Progeny of Idi Amin Dada.
If you are interested in knowing more about the late Amin's his life, you have two choices, I suggest you read both. One option is reading idiamindada.com that has detailed writtings supposedly from Amin's son, while the other source of information is largely a collection of related texts and one such source is from the AfricanHistory page available at about.com

1 feedback :

Anonymous said... Sat Mar 14, 09:38:00 AM MST  

Da Subi,
Leo nimeiona hiyo Documentary yote bya Iddi Amin.Ni ndefu kama saa moja na nusu hivi...na ina mambo ya msingi mno.Inaonesha upande wa pili wa Idd Amin...maana movies zote nilizoona nilikua napewa upande mmoja wa uovu, ukatili wa Amin.

Nimeweza kujua mambo mengi ya uongozi wake ulikuaje, commitment yake kwa watu ilikuaje ktk kushughulikia matatizo alikua anachukuaje, mtazamo wake ktk kuwatetea wanaobaguliwa kwa rangi, Blacks in America...naamini ndoto yake ya Black kuwa rai wa Marekani (nimemsikia ktk speech moja) naona imetimia.

Kitu kingine ambacho nimekipenda kwa Amin ni kujichanganya na watu ktk hafla mbalimbali, kama kucheza nk.Ukiachilia Nyerere ambaye nimeona picha mbalimbali naye alikua anafanya shughuli na wana jamii, viongozi wa sasa ni ngumu kuwaona wakiwa wanacheza na wananchi wao...hii inanita wasiwasi kama kweli ni viongozi wetu au la,au wameshatufanyia uovu flani wanajua tutajua uovu wao??Sijui.

Kwa upande wa familia, alikua na idadi kubwa ya watoto 18, sishangai sana kwani hata mimi nyumbani tupo watoto 13 cha msingi ni kuwapatia mahitaji muhimu, shule (elimu), afya, malazi, vyakula nk hiyo ndio maana ya family planning (kuwa na watoto unaoweza kuwatunza, na si kuwa na mototo mmoja au wawili, kwani nikiwa siwezi kutunza mtoto hata mmoja, na nikiwa naye huyo mmoja sijafanya family planning).Naamini watoto wake wanaendelea vizuri na shughuli za hapa na pale, japo kovu la historia ya upande mmoja wa baba yake kuwa maarufu najua inawaathiri kiasi flani na hasa kama kuna mengine ni ya uwongo, hapo inawauma.

Naomba Da Subi uwe unatuwekea movies nyingi za namna hii, wenye muda watakuwa wanapitia na kujifunza mambo mengi zaidi.

Mungu awe nawe Da Subi, kazi njema


MAKULILO Jr,
www.makulilo.blogspot.com

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads