Video: US soldier vs Iraqi police
Tahadhari: Lugha inayosikika katika video hii ina neno la kutusi.
Be warned. Adult language ('f*** up' word) is used in this video.
Nadhani tunaanza kujionea wenyewe ni kwa jinsi gani mambo ni magumu na yasiyo ya matumaini katika vita, hasa kwenye vita hii waliyoianzisha WaMarekani na inavyoelekea kuwa mambo yalivyo sasa na hasira ya WaIraki si sawa na nderemo na vifijo vilivyosikika siku za mwanzo za uvamizi wao nchini Iraki. Vita si lele mama, aliwahi kujisemea hivi mmoja wa waasisi wa Taifa la Marekani kuwa 'haikuwahi kuwepo vita nzuri wala amani mbaya' - Benjamin Franklin.
It is frustrations, chaos, depression, despair, uncertainty and pessimism everywhere. The statistics shows that the number of US soldiers comitting suicide is on the rise! Wars have devastating effects, no wonder I agree with Benjamin Franklin's statement when he said: There never was a good war or a bad peace!
I desire to live in a world where war will be a myth and a word of the past. I do not condone war nor any act of terror. I wish we could just : Spread love. Promote unity. Respect humanity. and Enjoy life! ...but somebody thinks that starting a war is an easy way to solve problems arising from disagreements.

1 feedback :
WOW!!! Da Subi. Ndio demokrasia hiyo wanayofundishwa.
Natamani ningekuwa najua kikwao nikajua aliyekuwa anatafsiri alikuwa anasemaje. Maana jamaa anaonekana kuwa kasi kutafsiri kisemwacho na sina hakika kama alikuwa akisema yote, maana wasingemuacha awadhalilishe namna hiyo. This' baaaaaaaad. I mean baaaad