wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, February 04, 2009

TweetThis! Picha ya kutisha! Ajali ya moto Kenya! INATISHA!

WARNING! TAHADHARI!
Hii ndiyo picha ya kilichotokea Kenya kwenye ajali ya mlipuko wa gari ya mafuta huko nchini Kenya ambapo watu zaidi ya 100 waliokuwa wakihemea mafuta ya petroli walilipukiwa moto na kuungua hadi kufa!
Ajali ya kufanana na hii iliwahi kutokea katika mkoa wa mbeya nchini Tanzania!

Show/Hide . Bofya hapa kutizama/Ficha

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads