wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, February 08, 2009

TweetThis! Majasusi vs Dk. W. Slaa na Dk. A. Taarab

Dk. Wilbroad Slaa na Dk. Ali Taarab A ni wabunge wa wananchi na wamekuwa wakizungumza ama kutetea masuala mbalimbali yanayowahusu wananchi na jamii nzima ya Tanzania. Hivi majuzi wakati shughuli za Bunge zikiendelea huko mjini Dodoma, wabunge hawa waliripoti katika vyombo husika kuwa wamekuta vyombo vya kunasia sauti vikiwa vimeshikizwa kwenye mbao za vitanda katika hoteli walizokuwa wamefikia. Sikiliza habari ifuatayo kama ilivyorekodiwa na kuwekwa kwenye intaneti na "Tangibovu":

2 feedback :

Mubelwa T Bandio said... Sun Feb 08, 07:45:00 PM MST  

Lahaulaaaa. Sasa ngoja niotee. Hatajulikana aliyeweka japo chumba kiliachwa kimefungwa na kimekutwa kimefungwa. Na licha ya kutojulikana, bado watasema wabunge wako safe. Sasa kama aliyeweka hatajulikana basi si kuna uwezekano wakawekewa mabomu hao?
"Mube yangu macho"

Subi Nukta said... Sun Feb 08, 10:04:00 PM MST  

Mube macho yako si ni yako tu lakini? Hayo ya siasa si ni visa tu na mikasa! Watu wazima na wanayoyafanya ukisimuliwa masikio yatakuwasha! Keeeero kero tupu!

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads