wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, December 10, 2008

TweetThis! Ombi la wimbo : Usiende mbali nami!

Mdau uliyeomba wimbo 'Usiende mbali nami' wimbo wenyewe ndio huu hapa, haya, pole sana.

Nadhani utaufurahia pia na huu:

2 feedback :

Markus Mpangala said... Sat Dec 13, 10:45:00 PM MST  

mmmm usiende mbali namiiiiii ooooh jamani raha sana mambo haya.
Dada SUBI karibu sana nyasa wala usikonde usiende mbali na samaki ukiwa nyasa. kumbe tupo wengi yaani kwa mwendo toka hapa hadi huko Canada, basi bwana tutajifariji likizo usiende mbali namiiiiiiiiiiii

subi said... Sun Dec 14, 11:57:00 PM MST  

ha ha haa mkuu rafiki bloga nanihii Markus wa Mpangala, nipo hapa hapa siendi mbali nauli sina ya kwendea mbali huko nisikokujua na huenda kusikokuwa na samaki. Umevua wangapi leo lakini? napiga hesabu ya kiasi cha nyanya za kununua kwa ajili ya mchuzi, nazi alishabangua mkwezi na kitunguu nakipitia kwa jirani yangu Yasinta wakati nasonga ugali ntakuwa namsikiliza mshairi Fadhy akighani na wakati wa kula ntakuwa nazisikiza busara za Kaluse ndipo nikajilaze kibarazani pa Kitururu nisome mawazo yake...

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads