wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Tuesday, November 25, 2008

TweetThis! Kampuni ya Kagoda ni ya ... by "Cheche za Fikra"

Katika jarida ya Cheche za Fikra, mwandishi Fred Katunzi anabainisha kuwa Kampuni ya Kagoda Agriculture Ltd ipo chini ya miliki ya Mb. Rostam Aziz (Igunga - CMM) na familia yake. Nimesoma kijarida hiki na kukiweka hapa ili na wewe ukitaka ujisomee.

Kuwepo kwa kijarida hiki katika blogu-tovuti hii ni kwa minajili ya kusambaza habari tu na SI kwa maana nyingine yoyote ile ya kukubali ama kupinga habari zilizoandikwa katika "Cheche za Fikra".

Cheche Za Fikra Toleo la 25 Novemba 2008 (bofya hapa kupakua nakala yako)
Get your own at Scribd or explore others: cheche jarida

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads