wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Tuesday, October 28, 2008

TweetThis! Kero: Ulevi

Swali:
Ni jinsi gani tutamsaidia mwathirika wa madawa ya kulevya? Vituo gani vinapatikana Tanzania kusaidia?
Maoni:

Pole kwa tatizo hili, mimi niliwahi kuwa na ndugu yangu with the same problem,but thatnks God amepona. Wasiliana na Dr Agustine Godman, GODAPET, Tabata Segerea Migombani Tel +255732924439.

Ndugu yangu alikuwa na tatizo kama hilo tukawa tumehangaika karibu hospitali zote hapo nchini na hakuna tulichofanikisha mwisho tulipata ushauri kwa mtu ambaye tulikuwa hatumfahamu na kutuelekeza kuwasiliana na shirika moja la mabruda wa Upendo (Brothers of Charity) ambalo linashughulikia watu wa aina hiyo na wanapona kabisa yaani huwezi amini. Shirika hili lipo kwenye Dayosisi ya Kigoma ila nasikia kwa hivi sasa wamefungua tawi hapo Dar es salaam, Mavurunza Parish. Jaribu kuwasiliana nao wanaweza kutoa msaada bure bila hata kulipia senti moja. utakachogharamia ni usafiri tu. namba yao ya simu ni 0282804182.

Pole kwa tatizo hilo, jaribu sehemu hii Dar es Salaam:
SOBER Tanzania
P.O. Box 10713
Dar es Salaam
Tel: 022-2118616
Pole sana. Nenda kwenye vituo vyaushauri nasaha watakusaidia zaidi. Kama unaishi Kinondoni kuna kikundi fulani kilisaidia wavuta unga. Kuna NGO flani iko pale Kinondoni maeneo ya Shentemba karibu na nyumba ya Tarimba, kuna geti jekundu na nje kuna maandishi kama JISAIDIE ADICTION REHABILITATION.
Zanzibari kuna wanawake na wanaume walioacha kabisa na kuweza kuwaelimisha wengine, mimi ninawajua pia kuna mtu sasa hivi ameanza kuacha na anaendelea vyema, unaweza kunipigia 024 2234897 [SAA 3 -11] kwa maelezo zaidi.
I’ve come accross addicts nafikiri what they need mostly is someone to talk to to begin with, saa nyingine in hospital they just get dawas which at the end of the day is not a long term solution. Mpelekeni kwenye AA (Alcoholic Anonymous) meetings, sijui kama iko kila mkoa, Arusha zipo, ulizia Arusha Community Church au Mental Health Unit Mt. Meru Hospital which is run by an Irish nun. So I think that’s a place worth starting. Poleni and wish you luck.
“Lomg-term attention” ni lazima iwepo “felt-need” kwa huyo jamaa kutaka kusaidiwa. La sivyo, anaweza ku-”relapse” na kuanza tena kuyatumia kwa nguvu zaidi. Yafaa sana asifungwe nira na vigenge vyake vya watumia madawa ya kulevya!
Ni lazima ajaze hiyo “vacuum” iliyoacha na kuingiliwa na madawa ya kulevya na kitu ambacho ni “productive” na “constructive” katika maisha yake.
Matibabu ya waliathirika na madawa ya kulevya yanaweza kuwa ya out patient au hospitalization.
Cha msingi ni kupata ushauri wa daktari juu ya njia sahihi inayofaa kwa huyo ndugu yetu baada ya yeye daktari kuievaluate hali ya mgonjwa.
Daktari sahihi kufanya hivyo ni Psychiatrist au clinical Psychologist (therapist).
Iwapo ndugu hataki matibabu, kuna uwezekano wa kupata kibali cha mahakama cha kulazimishwa matibabu: Psychiatrist atatoa details zote juu ya hili.
Jukumu lenu la kwanza kama ndugu ni kutambua kuwa hali hiyo inatibika,la pili ni kutambua umuhimu wa kushirikiana na ndugu huyo ili aweze kuwa na motivation ya matibabu.
Msikate tamaa.
Ni muhimu pia kufahamu kuwa matibabu ya magonjwa haya ni ya muda mrefu na mara kwa mara inaweza kutokea kurudia madawa baadda ya kuacha kwa muda fulani.
again msikate tamaa…
Ushauri ninaoweza kuutoa zaidi ya huo ni kwamba mtafutieni ndugu huyu shughuli mbalimbali za kufanya awe busy katika mazingira ambayo hakuna madawa.Mfano michezo mbalimbali, kazi za ufundi, mazoezi ya viungo. Hii ni muhimu kwa sababu ili aache madawa anahitaji kitu mbadala cha kushughulisha ubongo.
Taratibu taratibu muanze kumuepusha na marafiki anaotumia nao madawa.
Pole kwa matatizo yaliowajiri kwani hauko pekee katika tatizo hilo kwani ni vijana wengi wa kitanzania ni wateja wa madawa ya kulevya. La kwanza kabisa bado Tanzania hatujui jinsi gani ya ku deal na drug addicts na vilevile every drug addiction has its own treatment strategy. Kwa kusema hivyo basi huu ni ushauri wangu.
1. Ushauri nasaha/councelling ni jambo la kwanza katika kumtoa mtu katika addiction. familia na wana ndugu inabidi mkae chini na mtumiaji kumweleza ni jinsi gani mnavyomthamni/ mnavyompenda na jinsi gani utumiaji wake wa madawa unamweka mbali na familia zake pamoja na wandugu. Kwani mtumiaji yeyote wa madawa, kama wanavyosema wao wenyewe ni kwamba they beleive no one give a shit on them and its just the drug that difines their world. Kumbuka ya kuwa utumiaji wa drugs ni kama ndoa na mtu yuko tayari kwa kila njia kuficha addictin yake na vilevile sometimes they get violent and dont want anyone to tell them what to do. Na mara nyingi huwa welevu na kutoa ahadi ambazo huwa hawazitimizi. Counselling ni jambo la muhimu sana kwani ni kawaida yetu watanzania kuona mtu kuwa huo ni msalaba wako mwenyewe na ni yeye mwenyewe ata deal na consequences zake.
2. Rehabilitation is the next stage. Katika kipindi hiki katika kumuondoa mtu katika addiction ni lazima kuwepo na transition point. Lazima kumpeleka katika hospitali inayojua jinsi gani ya kumhudumia mtu mwenye drug addiction. Hospitali zinazofahamu jinsi gani ya kumhudumia mtu mwenye matatizo hayo watamweka katika dose ya madawa wakati wanapunguza matumizi yake hadi hapo itakapofikia kiwango ambocho daktari ataona hakuna haja tena ya kumpa dose za kilevi. Kumbuka ya kuwa kuacha ghafla utumiaji bila ya kupitia rehabilitaion may cause stroke or even death kwani hata organs za mtumiaji may shut off kwani mara zote huwa wanatetemeka na kusikia baridi kali pale ambapo hawana drugs in their sysstem.
3. Ingia kwenye mtandao na tafuta more information katika kumhudumia mtumiaji wa madawa ya kulevya.
Pole na tatizo hilo. Drug addiction is a serious problem and in these developed countries it is ranking high among causes of violence, murders and deaths. It is critical my sister. The main problems these drug addicts face are:
1. They feel rejected and judged by close relatives. This makes them to be over reactive and defensive unnecessarily. This is more of an infiriority feeling than the reality itself however, although in it is possible that some close relatives tend to view the victim as the ‘worst sinner’, i.e. holier than thou attitude.
2. They believe that no one understands their situation hence they think those who want to help them are not realistic and are superficial.
3. They are bound. It is important to understand that drug addiction is more of a spiritual problem than just medical attention! They have a strong illusion that they can’t help themselves without it, hence a strong sense of failure attacks them.I will advise you that an addicted person needs a strong rehabilitation process and not just an attempt to help him out to be a good guy! He needs spiritual, emotional, mental and physical rehabilitation approach. Below are my suggestions to approach the situation:
1. The person needs love. He should see that you care for him and not just to rebuke the devil out of him! It is important to know that, without love no ministry will work successfuly! 1 Cor. 13.
2. Counseling is number one approach to solve the problem the guy is facing. You should approach the guy prayerfully (even after spending sometime in fasting) after ensuring that you have won a trust from the guy. They tend to be reactive, be sure of that if not carefully attended. Holier than thou attitude and judgemental approaches will defeat the help, believe me! For example, seeing the guy for the first time instead of greeting him and asking him how is he doing you just tell him that I want to talk to you, may be received with suspicion from the guy!
3. In love and showing that you care for him during counseling, ensure that he accepts the situation as not worthwhile living it and ask him if he thinks he needs a help. Many counseling and prayers fail because the victims are not really ready from the heart to give up the situation - John 5:6
- Don’t force the guy to accept it, but check to ensure that he speaks out of his heart, i.e. he is honest and not that he is trying to be phony!
4. Try your level best to gain a trust from him by ensuring him that your solutions are better and they work, and are not aimed at throwing him to the hospitals and label him as crazy!
5. To conscioutous him more, you can help him to see the way his situation affects his relationships with other people, relatives, parents, with himself (as he can’t progress much in life), with governmental authorities due to the use of forbiden drugs, and above all it’s a sin against God!
6. Talk to him while he is sober. Avoid the times when he seems ‘high’ with drugs! You can plan well in advance together with him that when you meet to talk he should be sober. Be strong in this if he accepts to meet with you for a talk. Sometimes planning to meet during morning hours, such as 9.00 or 10.00 a.m. may help.
7. When you meet you can tactifully start to talk about life issues and how he is coping with life in general, knowing that this obviously will have a problem since they will be affected by his drugs problem. See how you can wisely connect this talk with the problem he is facing.
8. You may not necessarily quote the Bible lest he suspects that you have turned him into a preaching audience, but you can address the following important issues to him to deal with:
8.1 It is difficult to get a help from other worldly suggested means, since he is bound to addiction. He can’t help himself.
-Recall that the Bible says that “Don’t you know that when you offer yourselves to someone to obey him as slaves, you are slaves to the one whom you obey–whether you are slaves to sin, which leads to death, or to obedience, which leads to righteousness?” Rom. 6:16
- He is infact held captive. He is under the yoke of slavery to addiction.
8.2 Only Christ can set Him free. He should know this. It is possible for him to come back to normal life again.
- “If the Son therefore shall make you free, you shall be free indeed” John 8:36
- “I can do all things through Christ who strengthens me” Phil. 4:13
- “Therefore he is able to save completely those who come to God through him, because he always lives to intercede for them.” Heb. 7:25

Free Clipart

8.3 He has to give his life to Jesus Christ. Jesus Christ says:-
-”Come to me all ye that labor and are heavy laden and I will give you rest” Mt. 11:28-30.
-”Here I am! I stand at the door and knock. If anyone hears my voice and opens the door, I will come in and eat with him, and he with me.” Rev. 3:20
8.4. After accepting Christ He needs deliverance process. Drug addiction is a very strong yoke. You need to break that stronghold in his life by the blood of the lamb and cast out demonic forces of addiction that have been helding him captive. There are times he has to repeat a prayer after you of deliverance and you need to call upon the anointing of the Holy Spirit upon him to break the yoke of addiction - Isa. 10:27 (KJV)
8.5 He should set himself apart from bad company. Peer interests and pressures affect a lot these guys. It will be hard to continue in victory if he compromises with the old bad company - “Do not be deceived: “Evil company corrupts good habits.” - 1 Cor.15:33. Also, Eph. 5:11.
- It is important you insist in this. He will need a close followup of a brethren who will be from time to time meet with him to know how he is doing and sharing with him the word of God.
8.6 Mental rehabilitation will work properly if he develops the habit of reading the word of God and meditating it daily. He should also be challenged to develop a prayer life even if it is twice a day for a start is ok.

Sorry for a long sermon, but this little advice I hope can be a good starting point and you will see the way the Spirit will lead you. Have faith in God that He is able, but also know that, that is a process and may not take an overnight achievement. It will need love, patience and faith in God.

Mungu akubariki kwa huduma hiyo.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads