wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Thursday, July 03, 2008

TweetThis! Nani kasema mshahara hautoshi Tz?

Ni mpaka machungu yatakapowakamata watu wengi wakataka na wao kupata hata robo ya hizo fedha, ndipo tutaweza kuungana na kudai haki zetu, la sivyo, tuendelee tu kupashana habari hadi hapo Yesu atakaporudi. We kama unafikiri kuna mtu atajitolea kufa kwa faida yako, endelea kusubiri na usimlalamikie mtu pale hali inapokuwa mbaya, kwani huyo unayemlalamikia ametumwa kukutengenezea makao mema wewe? Wacha nicheke mie kulia kupo tu.

Contributing to budget estimates of the Ministry of Infrastructure Development, Mr Mporogomyi told the National Assembly today that the CEO (wa TANROADS) didn't have the qualifications for the job, and that he was not even in the short list of eligible candidates.He said the CEO had been receiving a string of allowances as if he was an expatriate - and demanded explanation over both the appointment and legitimacy of the payments. Mporogomyi said Mrema is being paid $8,500 in monthly salaries; a $2,200 monthly house allowance; an $850 pension per month; $500 transport allowance and a $400 medical cover.Mr Mporogomyi cited other benefits as annual performance bonuses ($102,000); annual leave payment ($3,000); and a 'golden handshake' of $10,000 upon completion of his contract – plus $9,000 as "commencement" or "start-up" allowance.

Habari kamili ifuate: DailyNews - HabariLeo

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads