wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Saturday, May 31, 2008

TweetThis! Kupambana na upotevu wa barua/vifurushi

Si jambo la mzaha. Ni maudhi na kukata tamaa pale mtu anapofanya juhudi kuwatumia ndugu, jamaa au rafiki vifaa/barua kisha waliotumiwa wanapofika posta ama mahala pa kuchukulia http://www.21stcenturymed.org/angry-face.jpgvifurushi/barua zao, wanakumbana na maswali yasiyo na kichwa wala mkia (mf. umetumiwa nini? aliyekutumia anaishi wapi? anafanya shughuli gani huko? unakwenda kufanyia nini ulichotumiwa?).....Ama kupewa maelezo: barua/kifurushi chako hakijafika rudi wakati mwingine..... hakijafika, jaribu kesho..... hakijatufikia wasiliana na aliyekutumia...... hakijafika tupe namba za ku-trace...... hakijafika subiri...... na mwishowe, huenda kimepotelea njiani, hatuna la kufanya! Inaudhi sana ukichukulia kwamba kifurushi kama hicho kikitumwa kwenye nchi zenye mfumo mzuri wa mawasiliano, kitafika bila tatizo na hata lingetokea tatizo, ni rahisi kufuatilia na kugundua uzembe ulipotokea na kuukomesha kwa kumwajibisha mzembe ama mfumo wa kizembe!Tutaendelea vipi wakati vitu tunavyotumiana kwa sababu ya kusaidiana kimaendeleo vinaibwa? eissssh!

Mbinu za kujaribu kupambana na upotevu vifurushi/barua

Source: http://taraforpeace.com/peacecorps.htm [@ subject: Keeping in touch. (also see Communications)]

"There are a few things you can do to help hasten and secure the passage and delivery of your mail. Have anyone sending you a care package scribble religious symbols and biblical quotes all over the outside of the box. This sounds silly, but it works. Though many of the countries in which the Peace Corps serves are largely animist in religion, superstitution runs high and even corrupt postal workers are wary of intercepting religious parcels. Along every step of the way, your mail will be subject to the whims of postal officals, customs officers, and delivery personnel who often take the liberty of rummaging through care packages in search of goodies from the U.S. If you mail is embellished with religious symbols, the odds of keeping it intact are improved. You may even want to ask the sender to write "Sister" or "Brother" before your name, the heighten the effect. Another trick is to have your mail addressed to you in red ink. I've been told red ink is somewhat sacrosant in many third world societies and is reserved for only the most official of letters and correspondances. Though I'm unsure about this explanation's validity, I can vouch for the trick's effectiveness, having seen serveral packages addressed in red ink delivered safely and expeditiously."Also:-Make sure you're using Airmail-Number your letters so I know if one has been lost-I've heard that padded envelopes have a better chance of making it than boxes-It can help to include "educational materials'" or "feminine hygeine products" on the package in writing that looks official

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads