wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Thursday, May 15, 2008

TweetThis! Wobzip: Fungua kabrasha mtandaoni

Picha unayoiona hapa ni ya tovuti ambayo itakuwezesha kufungua kabrasha ukiwa mtandaoni bila kuhitaji ku-install programu yoyote kwenye kompyuta. Tovuti hiyo ni: WobzipWobzip italifungua kabrasha na kukuonesha mafaili yote yaliyomo na kuwa yapo tayari kwa kupakuliwa.Wobzip kwa sasa inauwezo wa kufungua kabrasha la ukubwa wa 100Mb.Wobzip ina uwezo wa kufungua mafaili ya aina hii: 7z, ZIP, GZIP, TAR, BZIP2, RAR, CAB, ARJ, Z, CPIO, RPM, DEB, LZH, SPLIT, CHM, ISONi programu nzuri ya kutumia ikiwa una haraka na umetumiwa kabrasha wakati huo na unalihitaji kwa ajili ya kutumia faili zake na kompyuta unayoitumia ikawa haina program ya kufungua hilo kabrasha lenyewe.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads