wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Thursday, May 08, 2008

TweetThis! Jikinge na utapeli mtandaoni

Have you tried to buy things from these mushroom of Chinese websites? zina majina elfu kidogo, tizama hapa: The biggest list of Chinese scam webs: http://www.firetrust.com/en/blog/chris/the-bigger-list-of-chinese-scams

Please, if you have received emails with such names, take my word, 'KIMBIA'! unless you want to ditch your hard earned money to these hunger mongers trying to survive somewhere through the cyberspace. These people are crooks, they are thieves. And the thing you can catch them up with is by checking their email addresses and method of payment. What legitimate company will have email address from free accounts like yahoo or gmail or hotmail ama excite sijui lycos mara bigfoot? Why not create email address with your website which comes free? Pumbaf sana these people!

Secondly, when you see a person advocating payment through WesternUnion or MoneyGram or Bank Transfer, raise your eye brows and use your sixth sense (that comes free, you only need to exercise and make use of it). Again, these pumbafs can not keep on stealing our hardearned money hata kama anaenda kupeleka mtoto hospitali, let them use legitimate ways to ask for donation si upumbaf huu. I checked one of these websites (www.faithfultrade.com) in which they claim to be in business since 2004 and somewhere they say since 2006, yaani they aren't even sure of their business takeoff.... halafu when you go to checking their registration, mama yangu, these people have been registered just last December (2007), where do they get the nerve to lie to customers kwamba they've been into business since long kama si unyang'au? Wakwende zao kule matapeli wakubwa, tena I doubt if they are not Nigerians or Ivorians or Ghanaians (sorry brothers and sisters, no hard feelings, I am trying to protect my people from your bitter traces in the internet) au anyone from across that area au hata Indonesia...

Lastly, hawa kunguru mtawanyiko kiingereza chao kimetoka kupikwa kwenye jiko la asubuhi la kuni zilizonyeshewa mvua usiku kucha, ukipata nafasi kisome kwenye mojawapo ya hizo tovuti kisha useme kweli kama pro web dealer atauza hata kichwa cha dagaa kwa lugha hiyo... Hakuna! Mtu anayefanya biashara pro akitaka kupata wateja ataajiri ama kulipa mzungumzaji mzuri wa lugha husika ili kusufi amkalimanie! Akijidai ku-mix-isha lugha ataishia kuwauzia wazungumzaji wanaoelewana na lugha yake.

Lastly (did I repeat this word?), these makongoro ya panya survivers should not jikanyangakanyaga with a reputable online transaction company kama PayPal ati we have to pay to paypal some fee na government tax. Nini? Ushenzi mtupu! Tax si inakwenda kwa customer as a buyer? Nini maana ya VAT? na hiyo business yao si wanalipia general tax? Iweje waseme vitu vinavyopitia PayPal ni lazima vilipiwe tax mbili as if the governments were going to question your or their methods of payment? Hata kama ni China, it's not that strict wasituletee uongo wao wa saa nne hapa.

Mwisho kabisaaa, these waizi wezi majambazi ya mtandaoni should have not said at to use PayPal you need to buy 5 items and above, kwa mtu mjanja that tells you one thing right away, "They are trying to discourage you from using PayPal". Kubaf! Wende zao kule.

1 feedback :

Lazarus Mbilinyi said... Mon Nov 10, 05:25:00 AM MST  

Wajina,

Umeongea kitu muhimu sana, kuna jamaa anafanya kazi kwenye mashirika ya Umoja wa mataifa Tanzania, jamaa walimmaliza kabisa fedha zake zote, acha kabisa. Ila kama una milango ya fahamu hasa ule wa sita nirahisi sana kujua hii kitu ni utapeli na ujinga.
Nilipata Email kutoka home town jamaa ananiambia amewin lottery na anashindw akulipa pes ili wamtumie mamilioni yake na akawa anaiomba nimlipie kwa kutumia visa card/credit card kwa kuwa nipo nje. Nikamwambia hakuna kitu kama hicho huwezi kushinda lottery kijinga hivyo ukiacha kwamba hatakucheza hukucheza, jamaa hadi leo hajaridhika anaona kama vile nilimnyima pesa kulipia kiana. Hata hivyo watu wanaliwa sana humu kwenye hizi deal zao iwe business au lottery ni vizuri watu kufahamu mambo ili kuepuka hasara na usumbufu na zaidi kupoteza mali zako.

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads