wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Thursday, April 24, 2008

TweetThis! Wizi wa sehemu za siri?

Baada ya kukemea mauaji ya albino nchini Tanzania, sasa tena Congo DRC wanakuja na kiroja kingine - vitimbi vya maungo ya siri.
Kila tunapokemea mauaji yasiyo na sababu ,wengine wanatafuta sababu nyingine. Huyu shetani aliyewaelemea watu si tumkane tu na shughuli zake zote? Mbona kuuana tunakouana kumetosha jamani, sasa si tujenge nchi zetu?
Afrika tuache kuendekeza mila na imani za kichawi, zinaturudisha nyuma.

Penis theft panic hits city..

By Joe Bavier
KINSHASA (Reuters) - Police in Congo have arrested 13 suspected sorcerers accused of using black magic to steal or shrink men's penises after a wave of panic and attempted lynchings triggered by the alleged witchcraft.Reports of so-called penis snatching are not uncommon in West Africa, where belief in traditional religions and witchcraft remains widespread, and where ritual killings to obtain blood or body parts still occur.Rumors of penis theft began circulating last week in Kinshasa, Democratic Republic of Congo's sprawling capital of some 8 million inhabitants. They quickly dominated radio call-in shows, with listeners advised to beware of fellow passengers in communal taxis wearing gold rings.Read the rest of the story here 

News source: Reuters.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads