wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Thursday, April 12, 2007

TweetThis! How to send clean emails

Kwa ufupi, sipendi kutuma ujumbe wa barua pepe kwa mtu yeyote ukiwa na zile alama ">>>""fwd:Re"Fw" nk. Huwa ni kero kwangu na huwa ninadhani ni kero kwa anayepokea ujumbe kwani inambidi aanze kutafuta maandishi katikati ya alama na wakati mwingine anaweza kupuuzia habari nzima. Inapoteza muda bure na kuondoa furaha ya kusoma ujumbe uliokusudiwa.

Ni jambo la busara ikiwa utaweza kuondoa alama hizo na kutuma ujumbe safi. eCleaner ni 'software' mojawapo inayoweza kuondoa usumbufu huo kwa haraka. 'Install' eCleaner katika kompyuta yako na kisha uitumie kila mara utakapo kutuma email safi. Inapatikana kwa kubofya "
eCleaner (v2.02) " ama eClean202.zip

Ukitaka ziada ya programu, chagua hapa: email.about

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads