Tahadhari: Kuwa makini na chakula cha Kawe Club
Enyi wasomaji wa blogu,
Anwani na mawasiliano vimeondolewa katika ujumbe wa barua pepe iliyopo hapo chini, lakini cha muhimu ni taarifa ambayo imeachwa kwa ajili ya kukufahamisha kuchukua tahadhari. Ikiwa suala hili si la kweli na ikithibitika kuwa ni propaganda na hakuna uhusiano wowote, blogu hii itaondoa habari hii punde itakapofahamishwa ukweli huo.

From:
Sent: Thursday, September 03, 2009
Subject: FW: Kawe Club: Beware of food poisoning
Asante kwa taarifa.
Hizi habari si ngeni sana kwangu. Nimeshasikia watu wakilalamika.
Kati ya watu waliokufa ni mtoto (binti) wa Prof. Safari aliyekufa about 2 months ago. Siku mauti inamkuta alikwenda na marafiki zake kwa ajili ya sherehe ya kufurahia birthday yake.
From:
Sent: Thursday, September 03, 2009 12:36 PM
Subject: FW: Kawe Club: Beware of food poisoning
Hii habari nimefowadiwa na mmoja wa marafiki zangu. Utafanya vema ukiweza kufanya utafiti kujua ukweli wa taarifa hii nzito.
Kawe Club: Beware of food poisoning
Kwa wateja wa Kawe Club, hasa wa nyama ya ng'ombe, kuna haja ya kuwa makini kama unajali afya yako.
Hivi karibuni kumetokea cases zinazojirudia za watu kuugua matumbo vibaya sana baada ya kula nyama ng'ombe pale Kawe Club. Kiwango cha kuugua kinaonekana kutofautina kati ya mtu na mtu.
Na nimesikia kuna cases tatu za watu kufariki kutokana na hili, either kutokana na ugonjwa au complications zilizotokea baada ya kupata matibabu.
Na inavyosemekana hata polisi wana taarifa (Oysterbay Police), lakini hakuna hatua zilizochukuliwa kwa sababu zisizo wazi.
Kuna daktari ame-suggest kwamba inawezekana cases hizo zimetokana na kirusi flani hatari kinachodhuru binadamu na wanyama.
0 feedback :