Embed recent comments widget
Jinsi ya kuweka widget kwenye blogu yako ambayo itaonesha maoni ya hivi karibuni kutoka kwa wachangiaji mbalimbali wa mada katika blogu yako na hivi kuwawezesha wengine kufuatilia michango ya yaliyojiri. Ili kufanikisha hilo, fanya hivi:
Bofya kwenye kifute chenye neno 'Save'
Tizama blogu yako. Ikiwa una maoni kwenye posti zako, utaweza kuyaona kwenye widget hiyo.
Ziada
- Login kwenye Blogger
- Bofya kifute cha Layout (itafunguka default katika Page Element)
- Chagua sehemu ambayo unataka kuweka widget yako kisha bofya, "Add Gadget"
- Chagua gadget yenye maandishi 'HTML/JavaScript'
- Itakapofunguka, bandika code hii:
<script style="text/javascript" src="http://kunoichi.info/blogger_buster/comments.js"></script><script style="text/javascript">var a_rc=5;var m_rc=true;var n_rc=true;var o_rc=100;</script><script src="http://nukta77.blogspot.com/feeds/comments/default?alt=json-in-script&callback=showrecentcomments"></script>Badili neno 'nukta77' na badala yake weka jina la blogu yako
Bofya kwenye kifute chenye neno 'Save'
Tizama blogu yako. Ikiwa una maoni kwenye posti zako, utaweza kuyaona kwenye widget hiyo.
Ziada
- Ikiwa unataka kuonesha maoni zaidi ya matano, rudi kwenye widget yenye code uliyobandika sasa hivi na ubadili tarakimu 5 kuwa namba yoyote unayotaka.
- Ikiwa unapenda muhtasari uwe pungufu au zaidi ya maneno 100, basi badili tarakimu hiyo na kuandika namba ambayo itakuwa ni idadi ya maneno yatakayosomeka.
0 feedback :