wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, April 29, 2009

TweetThis! Breaking News: Tanzania ammunition explosion | Vifaa vya Jeshi vyalipuka Mbagala, Dar

An ammunition dump on the outskirts of the Tanzanian city of Dar es Salaam has exploded, causing a huge fire, panic and the ordering of a mass evacuation. Kenyan television reports say several people have been killed and a police commander confirmed at least one death from the blasts at a Mbagala army base. Shockwaves from the explosions were felt throughout Dar es Salaam. The authorities have advised workers around the city to vacate their offices, warning of further explosions. Officials said the army planned to set off another huge blast in an effort to contain the continuing smaller explosions. Several houses in the Mbagala area caught fire from raining debris and at least one person has died, said regional police commander Suleiman Kova. Fires are still burning after the explosions, which lasted for about two hours. Our correspondent in Dar es Salaam, John Ngahyoma, says the blast caused a tremor which was felt at the BBC's offices in the city centre near the harbour. Deputy Minister for Defence and Security Emmanuel Nchimbi has cautioned residents to stay away from the area and to vacate all tall buildings. Speaking at the airport in the capital Dodoma, he said he would hold a news conference as soon as he arrived in Dar es Salaam.)
Muda mfupi uliopita umesikika mlio mkubwa hapa Dar (rejea mstuko kutokana na mlipuko wa Ubalozi wa Marekani? Mwaka 1998?), ofisi zetu ziko Mikocheni hata hivyo mtikisiko uliotokea utadhani ni hapo ng'ambo tu. Tukadhani labda ni majambazi.
Clouds FM wamesikika wakimhoji Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye amethibitisha kwamba mlipuko mkubwa umetokea katika ghala la kuhifadhi vifaa vya jeshi huko maeneo ya Mbagala, Dar.
Taarifa bado hazijakamilika lakini inasemekana kuna majeruhi. Tuombee kusiwe na upotevu wa maisha.
Hii habari bado ni changa lakini tuendelee kuhabarishana kadri taarifa zaidi, na sahihi, zinapozidi kupatikana.
Info source / Taarifa kwa mujibu wa: blogu ya B.Msongo - Simulizi na blogu ya B.Msimbe - Lukwangule Ent. na blogu ya Michuzi Jr - Jiachie na hatimaye video kwenye blogu ya Michuzi na BBC and RSOE EDIS

1 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads