wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Thursday, March 26, 2009

TweetThis! Nimevipata vile vitabu vya hadithi na tamthiliya zenye mafunzo

Leo nimefurahi sana kwa sababu katika kuperuzi mtandao nimeona orodha ya vitabu vya hadithi za KiSwahili. Vitabu hivi nimevikuta katika tovuti ya East African Publishers.
Vitabu vyenyewe unaweza kuvinunua dukani ama kwa kuagiza kwa njia ya elektroniki kwa kutumia kadi za VISA, MasterCard, AmericanExpress na PayPal.
Mbali na vitabu vya KiSwahili, pia vimo vitabu katika makundi haya: KENWAY BOOKS, COOKERY BOOKS, STORY BOOKS, PRE-SCHOOL SECTION, PRIMARY SCHOOL BOOKS, MAKERS OF HISTORY, SECONDARY SCHOOL BOOKS, TERTIARY, COLLEGE AND TEACHER REFERENCE BOOKS na CHARTS.

Vitabu vya hadithi za KiSwahili vimegawika katika sehemu kadhaa ambazo ni:
MICHEZO YA KUIGIZA
Amezidi
Hatari kwa Usalama
Kifungo cha Obatala na Michezo Mingine
Mafarakano na Michezo Mingine
Mama Mtakatifu
Mkaguzi Mkuu wa Serikali
Mke Mwenza
Mtawa Mweusi
Mzalendo Kimathi
Nitaolewa Nikipenda
Tazama Mbele
Usaliti Mjini
Visiki
Wingu Jeusi       

  • Fisi na Kucha za Simba
  • Kiboko Alivyomchukia Chura
  • Kinyonga Mdogo ambaye Hakuweza Kubadili Rangi Yake
  • Kisa cha Paka Kupenda Jikoni
  • Korongo na Kobe
  • Matilda na Salama
  • Sungura na Rafikize Wavivu
  • Ajali
  • Ajali Baharini (New)
  • Aleso na Tumbiri (New)
  • Hadithi ya Nyanya
  • Kalume na Welime
  • Karamu ya Lina (New)
  • Kina Dada
  • Kuku Mrembo (New)
  • Marafiki Waagana
  • Msuya Augua Tumbo (New)
  • Mwindaji Anawindwa
  • Nyumbani Kwetu (New)
  • Safari ya Angani (New)
  • Safari ya Hatari
  • Shambani kwa Babu (New)
  • Sungura na Mbweha (New)
  • Taabu na Maajabu
VITABU VYA MKUKI
  • Dar es Salaam Usiku
  • Najisikia Kuua Tena
  • Pesa Zako Zinanuka
  • Salamu Kutoka Kuzimu
  • Tutarudi na Roho Zetu
VITABU VYA NYOTA
  • Ajira
  • Daudi Mlemavu
  • Hakimu Mwenye Busara na Hadithi Nyingine
  • Katala na Genge la Wezi
  • Kibuyu cha Miujiza
  • Kipepeo Amnusuru Binadamu
  • Kisa Cha Kuku na Mwewe
  • Kisa cha Sungura na Tumbili
  • Malkia wa Makobe
  • Mauti Yalianza Lini?
  • Mganga Pazi
  • Mkola na Mwizi wa Vitabu
  • Neema Aunguza Nyumba
  • Shule ya Wanyama na Hadithi Nyingine
  • Simba Kutoka Serengeti
  • Sungura Kisimani
  • Viatu vya Abu Kasimu
  • Visa vya Kalio
  • Zuhura na Redio ya Ajabu
VITABU VYA SAYARI
  • Binadamu Alivyoanza Kulima
  • Hadithi Zenye Mafunzo
  • Jinsi Chui Alivyopata Madoadoa
  • Kaka Mzalendo na Genge la Wezi (New)
  • Kisa cha Mfalme Choyo
  • Kisiwa cha Almasi
  • Kunguru na Panzi
  • Kwa Nini Fisi Huchechemea
  • Kwa Nini Fisi Hucheka
  • Majuto ya Mzee Kikwazo (New)
  • Mazishi ya Popo
  • Mkola Atembelea Mbuga za Wanyama
  • Mlilwa na Ndege wa Ajabu
  • Mlilwa Shujaa
  • Mnyama Mwenye Huruma
  • Msako wa Mwizi
  • Twiga Alivyokosa Ufalme
  • Usifuge Kobe
WAANDISHI WA KIAFRIKA

  • Alidhani Kapata na Hadithi Nyingine (New)
  • Anasa
  • Asali Chungu
  • Chembe cha Moyo
  • Doa la Mauti
  • Duniani Kuna Watu
  • Kusanyiko la Mashairi (Anthology of Swahili Poetry)
  • Mafuta
  • Malenga wa Ziwa Kuu: Maswali na Istilahi za Kifasihi
  • Mchimba Madini
  • Miaka 52 Jela
  • Mshale wa Mungu
  • Mwakilishi wa Watu
  • Mwana wa Yungi Hulewa
  • Mwindaji Hodari
  • Shetani Msalabani
  • Usilie Mpenzi Wangu
  • Vipuli vya Figo
  • Walenisi
  • Wema Hawajazaliwa
Vitabu vya hadithi za Kiingereza vimegawika katika makundi haya: LITERATURE BOOKS, AFRICAN LANGUAGES, E.A.E.P NOTES ON LITERATURE, EAEP DRAMA, SERIES, LINGUISTICS, ORAL LITERATURE, PEAK LIBRARY, POETRY, POETS FROM AFRICA, PUBLISHING, SPEAR BOOKS, VERNACULAR READER

1 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads