wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Friday, January 02, 2009

TweetThis! From Makulilo Jr: FOR 2009 (AUG/SEPT INTAKE)

Ndugu wadau,
Kwa ratiba za application kwa ajili ya mwaka wa masomo huu 2009 (mwezi August na September), ndio zinaelekea ukingoni. Hivyo, nimeweka list ya scholarships, hizi zote ni kutoka kwa ERASMUS MUNDUS http://ec.europa.eu/education/programmes/mundus/projects/index_en.html. Kwa sheria za Mundus, huruhusiwi kufanya application zaidi ya tatu, hivyo chagua upendazo, na unazoona una sifa ndio ujaze, zikizidi tatu, inakula kwako.

Kama muonavyo, list hii kwa pembeni imeonesha DEADLINE yake, hivyo ni mwendo wa faster ktk kufanya application.

LIST

1. Environment http://www.tu-harburg.de/eciu-gs/pro_joint_jemes.html Deadline 31st Jan 2009

2. Environment Science, Policy and Management http://www.mespom.eu/node/26 Dedaline 9th Jan, 2009

3. Master in Informatics http://www.eumi-school.org/edu/eumi/how_to_apply.xml?lang=en Deadline 18th Jan,2009

4. Space Master http://www.spacemaster.se/index.php?option=com_content&task=view&id=14&Itemid=30 Deadline 15th Jan, 2009

5. Space Technology http://www.aerospacemasters.org Deadline Febr 2, 2009

6. Security and Mobile Computing http://www.tkk.fi/Units/CSE/NordSecMob/admission/index.html Deadline 9th Jan, 2009

7. Models and Methods of Quantative Economics http://www.univ-paris1.fr/rubrique1297.html Deadline 6th Febr, 2009 Also at http://www.univ-paris1.fr/formation/eco_gestion/ufr27/study-in-english/erasmus_mundus/admissions_and_scholarships/article3971.html

8. Sustainable Forest and Nature Management http://www.sufonama.net/eng/Home/home_7_26.html Deadline 16th Jan 2009

9. Marine Biodiversity http://embc.marbef.org/eramun.asp

10. Trade Law and Finance http://www.transnational.deusto.es/emttl

11. Economy, State and Society http://www.imess.eu/index.php Deadline 21st Jan

12. Management of Information Technology http://www.immit.eu/default.htm Deadline 15th Jan

For More Opportunities
MDAU- MAKULILO Jr,
www.makulilo.blogspot.com
+13046330978
E-mails scholarships101@aol.com
makulilo@marshall.edu

3 feedback :

MARKUS MPANGALA said... Sat Jan 03, 05:15:00 AM MST  

aise hii kitu safi sana, kweli tunaishi zama zingine za teknolojia. asanteni kwa kazi murua

Subi Nukta said... Sat Jan 03, 05:38:00 AM MST  

Markus,
Mdau Makulilo anajitahidi kwa kadiri ya uwezo wake kuhabarisha wanajamii kuhusu hizi nafasi za masomo. Anafanya hivi kwa kuwa naye ni mmoja wa waliofaidika na nafasi hizi hivyo anajua siri ya mafanikio.
Asante kwa kufurahia taarifa!

Mzee wa Changamoto said... Mon Jan 05, 03:31:00 AM MST  

Kujua kitu ni suala moja, kunufaika nalo ni suala jingine na kisha kujua manufaa yake ukajitahidi kuwanufaisha na wengine nalo ni zaidi ya suala jingine. Ni ujasiri, ni ushujaa na akili za kuijali jamii na wanajamii kuliko kujijali mwenyewe.
Asanteni kwa mara ya tena na BARAKA tele kwenu.
Blessings

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads